Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Half time arsenal wameshalala 2 nil, naona hii timu imeshakuwa jamvi la wageni sasa.
 
Wachezaji wengine bwana, huyu Diaby kwa kupenda chenga wala haziwezi aagh!
 
Mr. Bean is so funny for sure, Adebayor benchi sasa anategemea huyu utapiamlo RvP ndio atawaweza akina Alex na baba JT?
 
Na hawa mabeki wa arsenal naona wamefungwa nanga za miguu, hata kuruka vichwa hawawezi
 
Hapa mbona kimya sana leo?

Kimyaaaaaaaaaaaaa nyumba hii!!! Naona the white witch anafundisha chekechea wa Mr. Bean shooting styles... Tatizo anawapa adult doses wakati vijamaa ni pediatrics
 
Kimyaaaaaaaaaaaaa nyumba hii!!! Naona the white witch anafundisha chekechea wa Mr. Bean shooting styles... Tatizo anawapa adult doses wakati vijamaa ni pediatrics

Fans wa Arsenal Shadow et al wako busy wakishabikia Barcelona jukwaa lao halikaliki ni la moto kweli kweli hehehe!!!
 
Mimi nahuzunika tu hapa 🙁. Kibarua cha Wenger kimeshaota majani. Hakuna sababu yeyote ile ya kumrudisha msimu ujao.
 
Back
Top Bottom