Jack Grealish alinunuliwa kwa 100M mwaka 2024 umeisha hajafunga hata goli moja. Kwanini hamna anayeongelea hili?
Man city is not relevant. Same na Antony na united.
Why have these two guys failed? I mean they are skilled miguuni na wana pace so what's the issue?
Mmoja ni timu aliyotokea mwingine ni ligi aliyotokea.
Against Villa ni timu chache zitaamua kupaki basi. Against zingine zote Villa itakua inafanya mid block na kusubiri wapinzani waingie upande wao kisha long ball moja au through ball, pace ya kutosha then Grealish anajikuta yupo 1 v 1 na kipa.
So it was easier akiwa Villa, akiwa city 1 v 1 anaipata dhidi ya mabeki 4 awaache ndiyo aipate 1 v 1 na kipa. Nakumbuka Arsenal tuliwahi kuhusishwa naye, the closest nilichoona ni siku shabiki alipomuuliza kama atakuja Arsenal, akatabasamu tu.
Arsenal wapinzani wake wengi wanafanya low block, Rashford anatoka timu ambayo hua haifanyiwi low block. Mambo ya Grealish hayawezi jirudia? Mtoe Martinelli muweke Rashford kisha wazia kwa mfano mechi ya jana ni kipi Rashford angeweza kufanya kikawa na faida?