Mnatumia muda wenu ku-criticise mapema hivi!
Hizo mechi 19 kesho kutwa mnaanza na Liverpool zinabaki mechi 18.Mnatumia muda wenu ku-criticise mapema hivi!
Bado mechi 19 umeshajipangia wewe unamaliza nafasi ya 2 na Man U ya 14.
Nakukumbusha tu mechi 19 zilizobaki zina jumla ya point 57 United akishinda zote anakuwa na point 79!
Ila mara nyingi hua unafanya hivi na kupotea baada ya dk 90Mimi nilikuwa nafurahia tu goli la kwanza EPL mwaka 2025 na nikafurahi zaidi kuona goli hilo amefungwa aseno'
Lazima kujificha...ππππIla mara nyingi hua unafanya hivi na kupotea baada ya dk 90
Msipotumia sindano alizofumwa nazo Mudryk mnafungwaTutacheza na Southampton
Spurs ni completed definition ya bottlershivi "bottlers" ni watu wa namna gani hao
ila ni jukwaa lililochangamka kuliko yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyo ya miaka 2 iliyopita hata kucomment humu ilikua ni marufuku mpaka uonyeshe kwanza cheti chako cha ukocha, na wengine wakapiga mpaka marufuku wasikotiwe.
Hili jukwaa lilipitia masahibu mazito sana aiseeee.
suala sio akishinda, huo uhakika wa kushinda mechi zote 19 ukavuna hizo point kwa timu yako unao? mnaanza na LiverpoolMnatumia muda wenu ku-criticise mapema hivi!
Bado mechi 19 umeshajipangia wewe unamaliza nafasi ya 2 na Man U ya 14.
Nakukumbusha tu mechi 19 zilizobaki zina jumla ya point 57 United akishinda zote anakuwa na point 79!
Kweli japo maajabu huwa yapo.United haiwezi kushuka daraja kwakua walio chini kule they are not getting better soon. So united aweza pigwa na kupigwa ila sidhani kama anaweza kua relegated.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bottlers ni wale walio katika nafasi nzuri ya kupambania ubingwa na kila mtu akaamini kua lazima watabeba kombe lakini ikifika mwisho wa msimu wanajikuta wamekalia chupa na kutoka mikono mitupu.hivi "bottlers" ni watu wa namna gani hao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hili ni Jukwaa la Comedy, kila mmoja anakuja kutolea stress zake humu, kuwepo humu ni sawa na kuhudhuria show za Cheka Tu, hivyo ni lazima hili jukwaa lichangamke.ila ni jukwaa lililochangamka kuliko yote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bottlers ni wale walio katika nafasi nzuri ya kupambania ubingwa na kila mtu akaamini kua lazima watabeba kombe lakini ikifika mwisho wa msimu wanajikuta wamekalia chupa na kutoka mikono mitupu.
Bottlers kwa lugha ya kawaida hua wanaitwa loser.
Bottlers inaweza kua hata kati ya mechi na mechi mfano mpaka dakika ya 80 Arsenyo inaongoza kwa 3-0 kila mtu anakua na imani kua tayari Arsenyo ameshajichukulia points zake 3, halafu kufika dakika 90 wahuni wanapindua meza na kuwagonga Arsenyo 4-3 hatimae Arsenyo anakua amepoteza points3 hapo kwa lugha ya kimichezo Arsenyo ataitwa Bottlers.
Aanze kushinda j2 kwanza afu utakuja tuongeeMnatumia muda wenu ku-criticise mapema hivi!
Bado mechi 19 umeshajipangia wewe unamaliza nafasi ya 2 na Man U ya 14.
Nakukumbusha tu mechi 19 zilizobaki zina jumla ya point 57 United akishinda zote anakuwa na point 79!
That's for sureTumeanza slow msimu huu kutokana na majeruhi ambayo mpaka leo bado yanatuendesha.
Kama January hii tutasajili inawezekana tukaanzisha title race nzuri na ya uhakika