Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partey ni mtu na nusu, ananikumbusha enzi zangu nikicheza namba 6.
ahahahah! Bro najua Partey ije mvua lije jua huwezi kumkataa, mimi nilimkataa sio kwamba hajui mpira ila ni makosa madogo madogo yaliyomnyima point kama Holding mid, leo Rodri ana ballon d'or ingawa partey is more talented than Rodri, sisi wachumi tunajaribu ku economize kwenye kila kitu even football , always we look for the optimal output, tunataka uoneshe ubora ule mungu aliokupa consistently, na hii ndio case ilofanya kuumia nikiona TP ana underperform, not otherwise.
 
.. .Martinel. .. ..... Jesus. ........ Nwaneri


. .Rice. . Partey. . Odegar.

.
... L skelly. Saliba. Gabi. . Calafiori


. . . ....Raya...


Sub: ziny, merino, trosad, joginho
 
.. .Martinel. .. ..... Jesus. ........ Nwaneri


. .Rice. . Partey. . Odegar.

.
... L skelly. Saliba. Gabi. . Calafiori


. . . ....Raya...


Sub: ziny, merino, trosad, joginho
Kiwior hawezi mbavu ya kulia ili Calafiori abaki kushoto?
 
.. .Martinel. .. ..... Jesus. ........ Nwaneri


. .Rice. . Partey. . Odegar.

.
... L skelly. Saliba. Gabi. . Calafiori


. . . ....Raya...


Sub: ziny, merino, trosad, joginho
Tierney kashacheza kulia. Kwanini isijirudie?
 
Hahaa.. Hakuna tabu, tuko pamoja, tunaendelea na gurudumu la the gunners.
 
Calafiori ni risk taker na hapo umemuweka kushoto, imagine akiwa kulia.

Kiwior ana cross nzuri sana jamaa. Ni fair akiwa LB kabisa
Kwior ni mzuri lakini tujiandae kuingia tukihesabu moja bila tayari tuanze kusawazisha na kutafuta ushindi, lazima achome ashalemaa
 
Umeandika maelezo marefu ila haujasema kama baada ya kutangulia kufungwa leo Arsenal imeshinda au imefungwa

Nakupa hii na hio ndio gemu pekee arsenal katanguliwa kufungwa then akashinda kama ipo nyingine itaje hapa , zipo gemu katangulia ndo ikaisha kafa zaidi ya mmoja .

Hii ndo game ya kwanza lakini unataka ionekane kama ni kawaida yenu[emoji28]
 
Spurs ni completed definition ya bottlers

Spurs hajawahi kuwa bottlers, real definition ya bottlers ni ARSENAL kila mmoja anajua hilo mbona unatumia kivuli cha spurs kujificha humo kaka[emoji23]

Bottlers is team that starts well but ends the season in poor form due to mistakes or to throw away a lead or a good chance of winning when you've been on the front foot.

Spurs hayupo kwenye bottlers nitajie mwaka ambao ni spurs ame “ bottle” kwanza hajawahi kufanya ivyo ila arsenal hapa naweza kukutajia zaidi ya miaka 12 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . THE REAL DEFINITION OF BOTTLERS NI ARSENAL.
 

Hata picha tu inasadifu kuwa nacho sema ni sahihi
 

Hata picha tu inasadifu kuwa nacho sema ni sahihiView attachment 3191381
 
Nakupa hii na hio ndio gemu pekee arsenal katanguliwa kufungwa then akashinda kama ipo nyingine itaje hapa , zipo gemu katangulia ndo ikaisha kafa zaidi ya mmoja .

Hii ndo game ya kwanza lakini unataka ionekane kama ni kawaida yenu[emoji28]
Mimi mtu akiwa muongo namchekecha hapo hapo. So nakupa evidence recent nyingine halafu nakuacha.

Game dhidi ya Crystal Palace kwenye EFL 24/25 Arsenal inaanza kuongozwa na Palace kwa goli la Mateta la dakika ya nne. Mechi inaisha Arsenal kashinda 3 - 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…