Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pasi aliyopiga Trossard kumpa Martinelli ni bonge la pasi.

Lile pasi huwezi lielewa kama hujawahi kucheza FIFA
 
Kila siku nawaambia, ni yuleyule Isak. Dogo anatunyanyasa kila siku.

Yote haya kayataka Martinelli, tungeongoza hii pressure ingepungua.
Martinelli mbona ali-shoot poa, kupiga besela huwez kumlaumu mchezaji
Au amezingua sehemu nyingine Mimi sijaona
 
Martinelli mbona ali-shoot poa, kupiga besela huwez kumlaumu mchezaji
Au amezingua sehemu nyingine Mimi sijaona
Of course Martinelli binafsi sijashangazwa sana na kukosa vile.. Labda kwa watu ambao hawajamtizama hivi karibuni 1vs1 na kipa. Sikuwa na mategemeo makubwa sana hata aliyotengeneza gap na mtu wa mwisho kwa mkimbio wake. Kupishanisha vizuri mpira na goalkeeper ni tatizo chronic sana kwake kwasasa.. Wala sio wa kutetea
 
Dakika za mwanzo za kipindi cha pili Newcastle watatafuta goli la pili kwa udi na uvumba, wakifanikiwa tu kupata goli la pili wanapaki basi na game ndio inakua imeisha.
Itakua poa sana Arsenyau akifungasha virago halafu mechi inayofata ya FA utd tukifanikiwa kuwaondoa kwenye mashindano matusi yatakua mengi sana humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna kamstari kembamba sana kanakomtenganisha huyo Matembele wenu na Antony Masebene, ni vile tu mashabiki wa Arsenyo hua wanapenda sana kuwapamba wachezaji wao.
 
Kuna marudiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…