Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Martineli ndio matembele? 😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna kamstari kembamba sana kanakomtenganisha huyo Matembele wenu na Antony Masebene, ni vile tu mashabiki wa Arsenyo hua wanapenda sana kuwapamba wachezaji wao.
Amachanganyikiwa kuna goal 4 hapa nazionaKocha kamuingiza Jorginho 🤔
😁 sio mbal n trh 12Bado kidogo, tutaanza kuhoji uwezo wa kocha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa labda mpate goli la penalty tu.Basi linapakiwa sasa
Ushindwe kumfunga Newcastle nyumbani kwenu utegemee utamfunga kwake?Kuna marudiano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usikate tamaa pambaneni mnaweza mkapiga comeback dakika za nyongeza [emoji16][emoji16][emoji16]Uwezo mdogo sana
Uwepo wa nani!?? Kai 😂🤣🤣Kwa line up ya leo sijui tunapoteza vipi hii game. Kila mtu amekamilika, uwepo wa Havertz pale unanitoa wasiwasi.
Nani amenotice formation za leo ni sawa kwa pande zote mbili?