Martineli ndio matembele? ππππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna kamstari kembamba sana kanakomtenganisha huyo Matembele wenu na Antony Masebene, ni vile tu mashabiki wa Arsenyo hua wanapenda sana kuwapamba wachezaji wao.
Amachanganyikiwa kuna goal 4 hapa nazionaKocha kamuingiza Jorginho π€
π sio mbal n trh 12Bado kidogo, tutaanza kuhoji uwezo wa kocha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa labda mpate goli la penalty tu.Basi linapakiwa sasa
Ushindwe kumfunga Newcastle nyumbani kwenu utegemee utamfunga kwake?Kuna marudiano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usikate tamaa pambaneni mnaweza mkapiga comeback dakika za nyongeza [emoji16][emoji16][emoji16]Uwezo mdogo sana
Uwepo wa nani!?? Kai ππ€£π€£Kwa line up ya leo sijui tunapoteza vipi hii game. Kila mtu amekamilika, uwepo wa Havertz pale unanitoa wasiwasi.
Nani amenotice formation za leo ni sawa kwa pande zote mbili?