Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 317
- 495
Daah. Kwa hiyo hujuma wametuletea mpaka kwenye mipira sasa. Kweli FA hawana hamu na sisi kabisa.View attachment 3195462
Tukumbushane tu msimu wa 6 huu miaka 5 without trophy ….. Trust phase and process[emoji23][emoji23]
Mpira ukipigwa unapaa tofauti na mpira wa Premier League.Kuna viazi humu wanafikiri Arsenal haifungiki, wakati kocha uwezo mdogo. ikifungwa lawama zitapelekwa kwa refa au visingizio majeruhi y wachezaji. Haya mmefungwa tena kisingizio ni nini?
Hee!! kumbe walitumia mpira wa kufuma??Mpira ukipigwa unapaa tofauti na mpira wa Premier League.
Zinakutosha izo no kuchekana hapaTumekufa mbili
Hata kama vipi hatutoboi.Kuna watu hawajui kama hii game ina two legs?
Nimesoma sehemu nikacheka kweli, yaani Arsenal imekuwa timu ya kulalamikia mipira, kweli?
Kichekesho cha mwaka hiki.Kocha wenu anachekesha sana, anasema mpira ulikuwa mwepesi ndio maana kila wakipiga unapaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Teta phala sana, analalamika wachezaji wake wamefanyiwa ushirikina na Sandro Tonali, anadai wachezaji wake wakigusa tu mpira unabadilika na kua puto.Kichekesho cha mwaka hiki.
Kuna uongo mwingine (wa Mikel) hata wewe unayesema unajiona mjinga.Daah. Kwa hiyo hujuma wametuletea mpaka kwenye mipira sasa. Kweli FA hawana hamu na sisi kabisa.
Sasa hizo rounds za awali ambazo tukekuwa tukitembeza vichapo mpaka kufikia hapa tulikuwa tunatumia mipira ya premier league?
Ten Hag in 2 seasons : £546m spent, 3 finals, 2 trophies.
Mikel Arteta 6 seasons : £700m spent, 1 trophy.
But according to media and pundits :
Arteta is a genius.
Ten Hag was a failure.
😄
Arteta uwezo wake umeishia hapo, hamtaki kukubali,,, klopp alikuwa muwazi akasema "I'm running out of energy "Tukifanya hesabu uchwara:
Ten Hag per season:
546/2 = 273
Arteta per season:
700/5 = 140
na tukisema tuforce iwe misimu 6...
700/6 = 116
Itaonekana kama Ten Hag per season > 2(Arteta per season).
Lazima tapeli hapo aonekane wazi wazi kabisa.