Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

View attachment 3195462
Tukumbushane tu msimu wa 6 huu miaka 5 without trophy ….. Trust phase and process[emoji23][emoji23]
Daah. Kwa hiyo hujuma wametuletea mpaka kwenye mipira sasa. Kweli FA hawana hamu na sisi kabisa.

Sasa hizo rounds za awali ambazo tulikuwa tukitembeza vichapo mpaka kufikia hapa tulikuwa tunatumia mipira ya premier league?
 
Mpira ukipigwa unapaa tofauti na mpira wa Premier League.
Hee!! kumbe walitumia mpira wa kufuma??
images.jpg
 
Piga kabisa hizi mburukenge,,,, mpaka akili ziwakae sawa ,,,, mkata viuno rice hakuwepo uwanjani ? Ni lini tuanze kuijadili form yake this season,,,,, msimu huu jamaa ni wa kawaida sana , msimu jana ndo alikuwa moto ! Hivi impact ya merino iko wapi ? Yule dogo(skelly) LB anamuweka zinny nje imekuwaje ? Si mlikuwa mnamsifia sijui inverted mid?







Wachezaji wa maana hapo arsenal ni Raya,saliba gabi CB, saka ,,, the rest ni ushuzi
 
Kichekesho cha mwaka hiki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Teta phala sana, analalamika wachezaji wake wamefanyiwa ushirikina na Sandro Tonali, anadai wachezaji wake wakigusa tu mpira unabadilika na kua puto.
Tafuteni kocha wa kueleweka, huyo Tetea wenu hamna kitu, mtamaliza mpaka episode ya 10 mkiwa trophyless.
 
Daah. Kwa hiyo hujuma wametuletea mpaka kwenye mipira sasa. Kweli FA hawana hamu na sisi kabisa.

Sasa hizo rounds za awali ambazo tukekuwa tukitembeza vichapo mpaka kufikia hapa tulikuwa tunatumia mipira ya premier league?
Kuna uongo mwingine (wa Mikel) hata wewe unayesema unajiona mjinga.
 
Ten Hag in 2 seasons : £546m spent, 3 finals, 2 trophies.

Mikel Arteta 6 seasons : £700m spent, 1 trophy.

But according to media and pundits :

Arteta is a genius.
Ten Hag was a failure.
😄

Tukifanya hesabu uchwara:
Ten Hag per season:
546/2 = 273

Arteta per season:
700/5 = 140
na tukisema tuforce iwe misimu 6...
700/6 = 116

Itaonekana kama Ten Hag per season > 2(Arteta per season).

Lazima tapeli hapo aonekane wazi wazi kabisa.
 
Tukifanya hesabu uchwara:
Ten Hag per season:
546/2 = 273

Arteta per season:
700/5 = 140
na tukisema tuforce iwe misimu 6...
700/6 = 116

Itaonekana kama Ten Hag per season > 2(Arteta per season).

Lazima tapeli hapo aonekane wazi wazi kabisa.
Arteta uwezo wake umeishia hapo, hamtaki kukubali,,, klopp alikuwa muwazi akasema "I'm running out of energy "
 
Back
Top Bottom