Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Kwan ngap huko mkuu 😎Huu moto tunaowapelekea hawa non stop halafu wanataka kututangulia kimuujiza. Yale yale ya manyumbu...
Tukiwa na bahati kidogo leo kuliko ile game ya united, hawa tunawapiga hata 3-1 au 4-1Kwan ngap huko mkuu 😎
Havert mzito sana, kipindi kile Alexender isack yupo sokoni tungempata tungekuwa tumepata mali.Tunahitaji striker, sio havertz