Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Banda umiza, nilikuwa nacheki hii game huku nime-relax sana. Mashabiki wenzangu wakiwa wapo VERY SERIOUS na timu.

Kosa kosa zote hata hazikunishtua kabisa. Jirani akaniuliza, mbona umetulia sana leo. Nikamwambia, nimepunguza matumaini na hii timu, nawe fanya hivyo, utanishukuru.
 
Ni kweli hata mimi nilikua sehemu nimepoa nakula popcorn sina wasi. Siku hizi naona sina presha kama zamani kwa sababu si expect much from this team.

Huu mwaka umeisha. Mwakani bila sajili za kueleweka tunarudi pale pale.
 
Wakina Odegaard wanajificha kwenye kivuli cha Akina Havertz lakini wote kwasasa ni walewale tu... Wanazidiana graph tu.. Siku hizi Odegaard amekuawa zinga la msenge. Miguu imekuwa mizito mno hata uwezo wa kusoma mikimbio ya wenzake apitishe mipira umepungua vibaya mno kwake.
 
Havertz bahati aliyonayo ni kuzaliwa ulaya tu lakini kiuwezo ni very mediocre.. Ni vile hivi vigoli vyake vya bahati kuna watu vinawaongopea wakiamini ana kitu lakini hakuna lolote mule.. Kwa timu yoyote inayotambua ugumu wa EPL mchezaji kana Havertz sio sehemu yake sahihi. Ni viburi tu vya makocha wa Kihispania kusimamia wanachoamini lakini kwa hili la Havertz tunaongopeana tu..
 
Ninachojua liverpool atadondosha point sana,na nafasi ya ubingwa iko free kwa wote,shida ni yetu je tutaweza kufunga magoli kwenye nafasi kumi tunafunga 1
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wazee wa Netflix naona mmemsusia liverpool ubingwa

Wazee wa next season

In Arteta we trust, mitano tena [emoji1787][emoji1787]

Ninachowambia Ruben Amorin atakuja beba EPL kabla ya Arteta, tunzeni hii comment
 
Guys embu kuweni serious.

Unataka ubingwa unaenda kusajili sterling?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waswahili watasema tuna mikosi.
Yaani VAR wameangalia ule mpira umemgonga Havertz tumboni na wakasema handball kweli? Mimi naendelea kusema ukweli ninaohisi kuwa officials wako dhidi yetu kuliko wengine.
Mjinga wewe, ngoja nikuwekee clip hapa uone mkono ulivyozuia mpira. Ushabiki usikutoe fahamu.... pambaf sana.
 
Ni kweli hata mimi nilikua sehemu nimepoa nakula popcorn sina wasi. Siku hizi naona sina presha kama zamani kwa sababu si expect much from this team.

Huu mwaka umeisha. Mwakani bila sajili za kueleweka tunarudi pale pale.
"Huu mwaka umeisha. Mwakani bila sajili za kueleweka tunarudi pale pale."

HII NDIO MAANA HALISI YA "ALWAYS NEXT SEASON" aka NETFLIX.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…