Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Kikosi tulicho nacho kinahitaji msaadsa. Hakiwezi kutupeleka popote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziko wapi?Points 3 zipo
😀😀😀 Namaanisha ule mpira haukumgusa mkononi Havertz kabisa. Angalia tena hata mara mia.😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unamaanisha tumbo la Havertz siku hizi linakaa mkononi au mimi ndio sijaelewa vizuri?
Ni kweli hata mimi nilikua sehemu nimepoa nakula popcorn sina wasi. Siku hizi naona sina presha kama zamani kwa sababu si expect much from this team.Banda umiza, nilikuwa nacheki hii game huku nime-relax sana. Mashabiki wenzangu wakiwa wapo VERY SERIOUS na timu.
Kosa kosa zote hata hazikunishtua kabisa. Jirani akaniuliza, mbona umetulia sana leo. Nikamwambia, nimepunguza matumaini na hii timu, nawe fanya hivyo, utanishukuru.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ninachojua liverpool atadondosha point sana,na nafasi ya ubingwa iko free kwa wote,shida ni yetu je tutaweza kufunga magoli kwenye nafasi kumi tunafunga 1
Ni maajabu haya, Raheem ni miaka mingi imepita toka aondoke liver nashangaa leo kumkuta arsenal nilitegemea awe IPSWICH huko na sio timu kubwa kama arsenalTimu yangu mpaka leo inategemea brilliance kutoka kwa watu kama Sterling na Harvetz.
Mjinga wewe, ngoja nikuwekee clip hapa uone mkono ulivyozuia mpira. Ushabiki usikutoe fahamu.... pambaf sana.Waswahili watasema tuna mikosi.
Yaani VAR wameangalia ule mpira umemgonga Havertz tumboni na wakasema handball kweli? Mimi naendelea kusema ukweli ninaohisi kuwa officials wako dhidi yetu kuliko wengine.
"Huu mwaka umeisha. Mwakani bila sajili za kueleweka tunarudi pale pale."Ni kweli hata mimi nilikua sehemu nimepoa nakula popcorn sina wasi. Siku hizi naona sina presha kama zamani kwa sababu si expect much from this team.
Huu mwaka umeisha. Mwakani bila sajili za kueleweka tunarudi pale pale.
Bado hamjasema, hata nafasi ya nne mtaisikia kwenye bomba msimu huu.Leo hii akiumia Saliba, Odegaard, Saka au Gabriel timu inasuasua na matokeo?
Sasa timu gani asiumie mtu. Maana ya timu ni nini?