HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
😀😀😀 nawaona kama nyie mliangalia vibaya au kwa kusudi la kuona mpira umegonga mkono wakati mimi mbona niliona haukugusa...😀😀Yaani kati ya watu wote tulioangalia mpira akiwemo arteta na benchi zima la ufundi la arsenal tumekubali kweli mpira uligusa mkono kabla haujabadilisha uelekeo, ila wewe peke yako umeona umegonga tumbo!
Hata hivyo mkono wa Havertz haukuwa kwenye natural position mkuu.