Arsenal (The Gunners) | Special Thread

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nawaona kama nyie mliangalia vibaya au kwa kusudi la kuona mpira umegonga mkono wakati mimi mbona niliona haukugusa...πŸ˜€πŸ˜€
 
Arsenal imefungwa magoli 21.

Liverpool yenye mabeki wa kueleweka imefungwa magoli 20.

Akili mali
Na magoli yetu tuliyofungwa mengi ni yale ambayo yalikuwa rahisi zaidi kukoswa lakini somehow yakaingia. Huku kwenye ufungaji tuna chances nyingi zilizokuwa rahisi zaidi kufunga kuliko kukosa lakini somehow tukakosa.
 
Na magoli yetu mengi ni yale ambayo yalikuwa zaidi kukoswa lakini somehow yakaingia. Huku kwenye ufungaji tuna chances nyingi zilizokuwa rahisi zaidi kufunga kuliko kukosa lakini somehow tukakosa.
Chura anaandika utumbo daily
 
Mwanzo nilikua nahisi nimeielewa hii format ya UCL ila jana imeniacha tena njiapanda.

Mwanzo nilielewa timu kuanzia ya 9 mpaka 24 zitacheza playoffs ili ziingie raundi ya 16. Ambako huko itazikuta timu zilizoshika nafasi ya 1 mpaka ya 8 zinawasubiri.

Na nilifikiri tayari zishachujwa.
 

Nadhani ni hivyo. 1-8 wanakaa high table wakisubiri draw ya 9-24 wakutane watundikane na washindi waje watukute sisi 1-8 tupambane.
 
Ni hivyo uko sahihi, lakini mpaka michezo yote iishe ndo watakuwa wamejichuja.
 
Ni hivyo uko sahihi, lakini mpaka michezo yote iishe ndo watakuwa wamejichuja.
Nadhani ni hivyo. 1-8 wanakaa high table wakisubiri draw ya 9-24 wakutane watundikane na washindi waje watukute sisi 1-8 tupambane.

Nimeelewa zaidi.

Baada ya kila timu kucheza michezo nane ndiyo inakua ishaamuliwa nani atakaa wapi
 
Kumbukumbu za Arsenal zikiwa zimesalia dakika 15 kabla ya kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa ulaya.

[emoji23][emoji174]

Daah hii gemu enzi hizo ni false hopers , dk ya 79 na 81 hope zikakataaa etoo na belleti kama sikumbuki vizuri
 
Waakati kama huu misimu 2 nyuma false hopers walikua wanaongoza ligi … basiii kwenye january transfer kama hii utasikia. β€œ mchezaji huyu asije ataharibu dressing room atmosphere [emoji23][emoji23][emoji23]” saizi sizioni kabisa kauli kama hizo za dressing room atmosphere
 
Nyie ubwa golikipa lenu linanyeshewa mvua ya magoli, sijui barcelona waliona nn kwa hii limaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…