Kwamba hali huwa haibadiliki? Kwamba huwa watu huwa hawaoni haja ya jambo fulani tofauti?Waakati kama huu misimu 2 nyuma false hopers walikua wanaongoza ligi … basiii kwenye january transfer kama hii utasikia. “ mchezaji huyu asije ataharibu dressing room atmosphere [emoji23][emoji23][emoji23]” saizi sizioni kabisa kauli kama hizo za dressing room atmosphere
vijana wapambane kiakili tuchukue points 3 muhimu. yaani wajitahidi kushinda bila kutumia nguvu nyingi.Leo dimbani tena ila kikosi kina doubts hiki. CL ambayo complicated unampa namba Kiwior na unamnyima Partey.
Mechi ya kupunguza gap unafosi Partey awe defender namba unamnyima Kiwior
United imemtaka dogo jina limenitoka wamepeleka 27 watu wamekaza wanataka 40Tiimu kubwa ikienda Sporting kutaka kumsajili Qwenda, wataambiwa hawauzi ili pesa iwatoke.
Wakienda West Ham watamsajili tena kwa £30mil tu.
🤣EUFA tunabeba hii.
Aliumia game ya VillaMLS hayupo hata benchi
Huwezi kuiita arsenal ile kuwa false hopers.. Arsenal hii ilitisha, hii fainali Thierry Henry alituua alikosa goli nyingi, lakini ile kadi nyekundu ilitumaliza, huenda tungepata kombe usiku ule.Daah hii gemu enzi hizo ni false hopers , dk ya 79 na 81 hope zikakataaa etoo na belleti kama sikumbuki vizuri