Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu nisamehe bure, unajua kwa sisi tuliozoea kushikashika hizi pesa zetu za madafu milioni ndio imekaa sana kichwani, hapo kwa Chidi bwenga nilikua namaanisha pound laki tatu na nusu.
Sawa ndugu yangu wewe huna baya, humu unatuchangamsha sana, ila hiyo hela kwa madafu inatisha sana.
 
Kama nilivyoandika mwanzo.

Kwenye mpira wewe bado
 
Ayden fee £1.5m, jezi namba 26 ! Thank you gunners
Mfano wewe ni beki unayechipukia kwenye timu yako yupo Magalhaes, Saliba, Timber, White, Skelly, Calafiori, Tomiyasu, Kiwior na Tierney.

Kwa umri wako siyo tatizo ukiwa first 11 hawa mabeki wote hakuna anayezidi 26 utasubiri miaka mingapi ili uje utoboe?

Kisha kuna timu inakutaka mabeki wao tegemezi ni Maguire, Martinez, Yolo, Shaw, Malacia, Evans, De Ligt. Wanakulipa vizuri pia.

Wewe ungebaki Arsenal?
 
Hivi huu uzi wa arsenal bado upo tu?
Nilidhani mshasambaratika baada ya kudondoka toka kwenye tawi!
 
Kwa namna mechi inavyoenda inamaanisha bila refa kutoa penati isivyo sahihi ilibidi iwe nil nil mpaka muda huu.
 
Unataka kuwa bingwa halafu unatafuta msaada kwa vitimu kama Bournemouth, Are you serious ?????? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mngefungwa Arsenal hatupo in good shape.

Endeleeni na maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…