Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sasa nipo sehemu ina connection kidogo naona mnamtukana Kai.

makaveli10 jamaa kama kawaida yake?
Nipo safarini, sicheki game.

Hao wanaomtukana kai wamechelewa kumjua, sisi tulisema kai ni kiazi, wao wakabaki na takwimu zao sijui ariel duels, sijui kimeenda kimerudi..
Mie nilishagongelea msumari kai ni kiazi na hafai kuchezea arsenal.

Ni kama vile nilivyopokea matusi wakati nasimama na partey, watu walipiga kelele wee, kiko wapi.

Kai ni kiazi.
Ikiwezekana miaka ya kai ipunguzwe apewe partey
 
Kocha mwenyewe ni kima tu
Anamtegemea havertz na ndo huyu mtoa boko daily
 
Ikiwezekana miaka ya kai ipunguzwe apewe partey, partey awe 25, huyu kai awe 40.
 
Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…