Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mchambuzi nguli nilisema AMORINI ni tapeli pro max ,yaani huyu Bora ETH

Kwanza ni muoga kama kunguru ,

Kafanya sub zimebaki dakika 3

Kingine amekariri 3-4-3 ,hawezi kubadilika hapo ,

Mwenzie tapeli ETH alikuwa anabadilika ,anajilipua kuwapa nafasi madogo

Huyu Amorini atawashusha daraja


Mechi 14
 
Passes final third
Spurs 80
Nyumbu 32

Timu kiungo kimekatika, backline wanacheza makirikiri, forward zinasaidia kuzuia, mashabiki
wanakuambia hii man u ni yamoto sana msimu huu
 
First half possession
Nyumbu 30
Spurs 70


Mnauhakika Amorim ni kocha?
 
Nyumbu kuna kitu wanatafuta shida yao nyuma wapo wazi

Swali langu kwako. Mnashinda magoli 2, nani anascore hayo magoli?


Mnaanza kutafuta vizingizio ili tukija kwenu mgome kuingia uwanjan[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Goal la nyumbu atafunga nani?View attachment 3245375

Nyumbu anakula chuma ya pili

Wapi Flano ?View attachment 3245381

Mnajitahidi sana kutafuta Kila namna mshuke daraja🤠🤠🤠...kimzahamzaha hivihivi mnawafqta Sheffield United kwny ligi Yao.....

Yamejificha tayari

Hakuna shot on target mpaka sasa hivi

Sijui tumuachie West Ham atupige leo ili awaruke.....

Nyumbu linakukuruka watu wamelibana



 
Tafuteni kocha wa kueleweka,,,, Arteta sio kocha wa ubingwa,,, kuanzia akiwa mchezaji na now kocha hana mafanikio yoyote ya maana ,,,, ile Spain(golden generation) 2009-2013 arteta hajawahi hata kusogelea akafagie uwanja wa mazoezi ,,, kidogo alionja ladha ya mpira(vikombe) akiwa city na pep
 
Unataka ubingwa na Saka ? Martineli mfukuza upepo, Trossard kichwa panzi ? ,,,, eti Skelly LB mchukue EPL na UEFA! inverted wetu Zinchenko imekuwaje tena ?
 
WC walioko arsenal ambao wanaweza kupambania ubingwa EPL na UEFA ni Saliba, Raya , Gabriel M, Rice ni inconsistent maji kupwa na kujaa, Leo akiamka vizuri anakiwasha kesho anatoa boko,,,, recently ana performance mbovu sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…