Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sterling mnamlipa mshahara ama mnashare na Chelsea? Huyo anatakiwa awe mfanya usafi wa dressing room! ! Huu ni utapeli mkubwa sana mmefanyiwa na wanalandani wenzenu ,,,,, match ya juzi kati Merino kaotea golf mbili, jana Arteta alivo kichwa panzi kampanga CF huku akizungukwa na Nwaneri na Trossard! Kichekesho hiki, timu inataka ubingwa!
 
Timu ya kawaida tu kama villa imewazidi kila kitu kuanzia management, benchi la ufundi hadi wachezaji ,,,, hivi ni mchezaji gani pale villa Park hapati namba kwenye hii arsenal ? Tuwataje ama ? Kina Watkins, Asensio, martinez(kijana wenu), Rashford, Onana, Morgan , etc !!
 
Napenda inapotokea watu mnaaminishwa mlichonacho ni bonge la deal kisha inabounce.

Kama ambavyo nyumbu waliamini Casemiro ni dawa, au Maguire, au Yoro, au Mount, au Sanchez, au Onana, au Dalot, au Pogba, ndiyo nilivyoona watu walivyompokea Merino.

Na memes wakazitunga. Binafsi sioni kama shida haswa ilikua ni Merino kuwekwa pale kwakua formation waliyotumia Westham ndiyo formation ambayo msimu huu kila anayetumia atapata suluhu au atatufunga.

Bila kujali tupo na ST au hatuna.

So, tatizo ni lile lile? Ndiyo. Too much reliance kwenye pattern mpaka unazika individual brilliance
 
Kocha umbwa mkubwa huyu.
 
Lawama zote ziende kwa matajiri wa timu kushindwa kufanya usajili January kuboresha kikosi.
images.jpeg
 
Wapuuzi walimfelisha Wenger, sasa hivi wanamfelisha Arteta.

Kichekesho ni kwamba, Arsenal ikiachana na Arteta Arsenal itachelewa kupata kocha mzuri ila Arteta hatochelewa kupata timu nzuri
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Katika hao wapuuzi waliomfelisha Wenger mmoja wao ni huyo Arteta.
Jinsi Arsenyo mlivyo wapuuzi mkamchukua huyohuyo mpuuzi aliemfelisha Wenger mkamfanya kua ndio kocha wenu halafu mkategemea awe na mafanikio makubwa kuliko Papaa Wenger[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapa umeandika kama Flano au Arsenal2004?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hio sasa hivi kila shabiki wa Arsenyo atakaeiita timu yake Arsenyau au atakaemkandia Tetea ni Flano?
Basi Flano watakua wengi sana humu, halafu huyo Masingeli's chawa arsenal2004 lilivyo ngese linakausha kimya ili ionekane ni kweli nina multiple Id humu.
Kwa style hii basi Id zote za kina Ulimakafu kina computerarsenal Will Jr verifaidi yuza Smith Rowe na wengineo wote wanaomkandia Tetea humu ni Id za Flano babalao.
 
Umeamua kuitukana id yako
 
🚨ARSENAL FC:

❌21 years without a Premier League title
❌33 years without a Carabao Cup
❌0 UEFA Champions League titles
❌0 UEFA Europa League titles
❌0 UEFA Super Cups
❌0 FIFA Club World Cups
❌No UEFA Champions League win in 139 years
❌Never defended a Premier League title
❌No treble-winning season
❌No quadruple-winning season
❌Never won a domestic treble (Premier League, FA Cup, and League Cup in the same season)
❌Fewer Premier League titles than Blackburn Rovers
❌No European success since 1994
❌Struggled to finish in the top 4 consistently in recent years
❌Longest league title drought among the traditional top six
❌Decline in global stature and competitiveness compared to other European giants
❌Inconsistent performances in domestic and European competitions
❌Rebuilding phase under Mikel Arteta without immediate major success

#AFC #Arsenal #MUFC #PremierLeague
 
Back
Top Bottom