Hatari sana.Mafanikio yenu makubwa msimu huu ni kushika namba mbili ambayo Pep anaimezea mate kwa udi na uvumba ! Ngoja tena mkakojoleshwe UEFA
Kocha umbwa mkubwa huyu.Napenda inapotokea watu mnaaminishwa mlichonacho ni bonge la deal kisha inabounce.
Kama ambavyo nyumbu waliamini Casemiro ni dawa, au Maguire, au Yoro, au Mount, au Sanchez, au Onana, au Dalot, au Pogba, ndiyo nilivyoona watu walivyompokea Merino.
Na memes wakazitunga. Binafsi sioni kama shida haswa ilikua ni Merino kuwekwa pale kwakua formation waliyotumia Westham ndiyo formation ambayo msimu huu kila anayetumia atapata suluhu au atatufunga.
Bila kujali tupo na ST au hatuna.
So, tatizo ni lile lile? Ndiyo. Too much reliance kwenye pattern mpaka unazika individual brilliance
Kocha vipi?Lawama zote ziende kwa matajiri wa timu kushindwa kufanya usajili January kuboresha kikosi. View attachment 3246287
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Katika hao wapuuzi waliomfelisha Wenger mmoja wao ni huyo Arteta.Wapuuzi walimfelisha Wenger, sasa hivi wanamfelisha Arteta.
Kichekesho ni kwamba, Arsenal ikiachana na Arteta Arsenal itachelewa kupata kocha mzuri ila Arteta hatochelewa kupata timu nzuri
Hapa umeandika kama Flano au Arsenal2004?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Katika hao wapuuzi waliomfelisha Wenger mmoja wao ni huyo Arteta.
Jinsi Arsenyo mlivyo wapuuzi mkamchukua huyohuyo mpuuzi aliemfelisha Wenger mkamfanya kua ndio kocha wenu halafu mkategemea awe na mafanikio makubwa kuliko Papaa Wenger[emoji16][emoji16][emoji16]
tetea hakuhitimuWapuuzi walimfelisha Wenger, sasa hivi wanamfelisha Arteta.
Kichekesho ni kwamba, Arsenal ikiachana na Arteta Arsenal itachelewa kupata kocha mzuri ila Arteta hatochelewa kupata timu nzuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hio sasa hivi kila shabiki wa Arsenyo atakaeiita timu yake Arsenyau au atakaemkandia Tetea ni Flano?Hapa umeandika kama Flano au Arsenal2004?
Umeamua kuitukana id yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hio sasa hivi kila shabiki wa Arsenyo atakaeiita timu yake Arsenyau au atakaemkandia Tetea ni Flano?
Basi Flano watakua wengi sana humu, halafu huyo Masingeli's chawa arsenal2004 lilivyo ngese linakausha kimya ili ionekane ni kweli nina multiple Id humu.
Kwa style hii basi Id zote za kina Ulimakafu kina computerarsenal Will Jr verifaidi yuza Smith Rowe na wengineo wote wanaomkandia Tetea humu ni Id za Flano babalao.