Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Mzee we comedian? 😂 Mechi karibuni ngapi za ligi hamjawafungaTuna majeruhi 9 wa timu yenu wa irst eleven. Lakini imbo tunawapiga leo. United hata iwe mbovu vipi kwa aseno huwa inakuwa kidume.View attachment 3264672View attachment 3264679
Kwa haraka haraka, sijamuona hapo Martinelli ambaye ameumia pia. Sijamuana Lewis-Skelly ambaye alikula kadi nyekundu juzi juzi tu hapa...Tuna majeruhi 9 wa timu yenu wa irst eleven. Lakini imbo tunawapiga leo. United hata iwe mbovu vipi kwa aseno huwa inakuwa kidume.View attachment 3264672View attachment 3264679
Kakaa kama kabeti, mpigaji wa mguu wa kulia kwa eneo lile kulikuwa hakuna haja ya kukaa alipokaa yeye, goli la uzembe wa kipa.I always question positioning of Raya when free kick is taken from that range