Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Heheh, ndio maana washabiki wengi wa Arsenal hapa JF wamechukua refugee kwenye Jukwaa la Urafiki, Mahusiano na Mapenzi kwa mwendo huu nusu ya first 11 itauzwa.
Hili dongo unamtupia nani? Manake asenali wapo wangi sana hapa JF
 
habari ndio hizo kolo toure kashaenda man city kwa pound mil 15 na atakula mshahara pound 120,000 kwa wiki.kazi hipo hapa.
Hivi wewe AW kulikuwa na sababu zipi za msingi kufungua bandiko jipya kuhusu asenali? Mind you kwamba sisi asenali hapa JF tuna bandiko letu ambapo tunapost positive na negative zote kuhusu team yetu kwa kumbukumbu muhimu siku zijazo!
 
Hivi wewe AW kulikuwa na sababu zipi za msingi kufungua bandiko jipya kuhusu asenali? Mind you kwamba sisi asenali hapa JF tuna bandiko letu ambapo tunapost positive na negative zote kuhusu team yetu kwa kumbukumbu muhimu siku zijazo!

...issssssssssssshhhhhhhh? kumbe kaka nawe ni "mshika bunduki" ? nimefarijika sana aisee (msimu ujao mgumu), nilidhani ni mmoja wa kina MTM, QM na FMES wa kule bwawa la maini...!

Tupo pamoja!
 
it seems wenger's hands are tied behind his back,the cost of servicing the stadium debt is taking its toil on new signings,what else can explain wenger's intrest in Patrick Viera,a player who is just about to walk with the aid of zimmer frames
 
Heheh, ndio maana washabiki wengi wa Arsenal hapa JF wamechukua refugee kwenye Jukwaa la Urafiki, Mahusiano na Mapenzi kwa mwendo huu nusu ya first 11 itauzwa.

...dah, mazee hata pre-season unataka tubanane tu na mambo ya mpira? haya basi, kesho Emirates Cup inaanza;

ARSENAL Vs A.Madrid

breaking news;

RIP Sir Bobby Robson (1933-2009)!
 
...issssssssssssshhhhhhhh? kumbe kaka nawe ni "mshika bunduki" ? nimefarijika sana aisee (msimu ujao mgumu), nilidhani ni mmoja wa kina MTM, QM na FMES wa kule bwawa la maini...!

Tupo pamoja!
Mko wengi sana sema kutokana na hali mliyo nayo wengi wameamua kujificha
 
Mko wengi sana sema kutokana na hali mliyo nayo wengi wameamua kujificha
Yeah,tupo wengi,sema tu hatuchangii,yaani wewe Adebayor na Toure kuondoka ndo waona tupo kwenye hali mbaya!!!!!...lol...muda bado subiri babu aweza kusajiri muda wowote tu,ni kiasi cha kusubiri tu..Hajajificha mtu hapa wewe....Halafu inaonekana Arsenal huwa wanakunyima usingizi sana Belo,maana we kila kukicha watuombea mabaya tuuuuuu..au ndo mambo ya ADUI mwombee njaa.....Mambo yatakuwa mazuri tu,mi sina hofu hata kidogo eti
 
Huna hofu sababu umezoea kugombea nafasi ya 4,nilikuwa na hofu na Liverpool last season na wakachemsha
 
Has Arsenal borrowed too much?

Robert Peston | 00:00 AM, Tuesday, 14 July 2009


I've obtained a copy of the financial analysis of Arsenal that was made by the investment bank Lazard Brothers in support of Alisher Usmanov's proposal that the club should raise up to £150m in a rights issue.
It's a chunky 35-page document. But its conclusion can be summed up very simply: Arsenal has too much debt to pose a serious challenge to Europe's biggest clubs; or to use the jargon, it is over-leveraged, too thinly capitalised.
This is a verdict that has been rejected by Arsenal's board, which has been advised by NM Rothschild.
The North London club's directors argue that paying down debt would have only a marginal impact on the availability of financial resources.

Of course, as an Arsenal-supporting BBC journalist, I couldn't possible take sides in this dispute between the Uzbekistani plutocrat and Arsenal's directors.
But some of you will be interested in Usmanov's point of view.
Here are a few bullet points from the Lazard document:
1) It believes that Arsenal's earnings before interest, tax, depreciation and amortisation (EBITDA) will fall from between £55m-60m in 2009 to £35-40m in 2010. The most striking contributor to this squeeze that it cites is a 12-14% increase in costs to £179m "as a result of players being compensated for tax changes and a number of step-ups in wages for individual players".
2) It predicts that cash flow will fall by more than that because of some pre-payments on assorted deals that were taken in 2007.
3) It says that Arsenal's fans are already paying 40% more than the average for the big four English clubs for match tickets and 24% more for season tickets - implying there's little scope to increase gate revenues, especially in a recession.
4) It calculates Arsenal's gross average annual spend on new players as £18m, compared with £37m for the big four; and the net annual spend, including sales, as precisely zero, compared with a £20.2m big four average
5) Perhaps most germanely of all, it fears that redevelopment of Arsenal's former Highbury stadium into luxury apartments may not turn out to be profitable - and that refinancing £140m of property-related debt over the next couple of years will be neither cheap or easy.
So Usmanov - the second-biggest shareholder in Arsenal with a 25 per cent stake - suggests that investors stump up a maximum of £150m via a rights issue of new shares.
This would provide additional funds for Arsene Wenger to augment the playing squad, and/or pay off some of the property debt, and/or pay down a substantial portion of the £242m of separate debt incurred to fund the development of the new Emirates stadium.
As I say, Arsenal's board has said no to all this, following detailed scrutiny by bankers from Rothschild - which included those bankers sounding out the most important individual at the club, Arsene Wenger.
The advice to the board from Rothschild was;
a) paying down the Emirates-related debt would save a maximum of £5m a year;
b) there are better ways to rehabilitate the Highbury redevelopment, including a putative cunning plan under negotiation right now - and even if the worst came to the worst, there should be no direct financial contagion to the club, since the providers of the property loans have no recourse to the footballing assets;
c) perhaps most controversially, the chaps from Rothschild don't believe Arsene Wenger is seriously constrained by lack of finance in his ability to develop the playing squad - and, more importantly, they don't believe that he feels fettered (if you see what I mean).
All of which would be described by some as a courageous blocking tackle: turning down equity finance during a sharp recession, and while the worst conditions in living memory for property developers prevail, well that's quite ballsy.
 
Arshavin is a terrific player...bahati mbaya yuko timu mbovu! Goli la pili was magnificent....! ninamkubali huyu Mrusi

...asante kwa kukubali, hilo tu linatosha... EPL is a couple of days ahead, tutajua mbichi na mbivu!
 
...asante kwa kukubali, hilo tu linatosha... EPL is a couple of days ahead, tutajua mbichi na mbivu!

Naam Mkuu, in less than 2 weeks tutajua mbichi na mbivu. Nilipata bahati ya kuziona mechi zote mbili ya jana na ya leo kwa kweli vijana wanatia moyo sana, lakini je wataiweza mikikimikiki ya EPL? Je, wataanza kwa nguvu za soda na kutupa faraja kubwa wapenzi wa GUNNERS kisha kuanza madudu kama ilivyo kawaida ya timu yetu na kuishia nafasi za chini?

Hatuna jina kubwa katika timu yetu but with determination and trust to each other nothing is impossible in this World. Na kama wataweza kufanya vizuri basi Wenger ataonekana kuwa ni Genius.
 
Gunners lack leadership - Toure


Toure played 328 games for Arsenal

Manchester City defender Kolo Toure says he decided to leave Arsenal because the club failed to strengthen their squad in recent seasons. Toure, who joined City for a reported £16m, said Arsenal's reliance on youth has meant they have lacked leadership.
"When you look at Arsenal you see all the great players have left and are now in the past," said the 28-year-old.

"Thierry Henry, Patrick Vieira and Ray Parlour have gone. We lost too many leaders at Arsenal."
Arsenal went through two captains last season, with Cesc Fabregas replacing William Gallas at the helm after the French defender made disparaging comments about his team-mates.
Toure was the last member of Arsenal's 'Invincibles' (the squad which went unbeaten through the entire 2003/04 league season) to leave the Emirates.


You can't be successful in football without money

Kolo Toure

"Players like Henry, Vieira and Parlour that brought success to Arsenal and I believed it was right at this stage of my career to also move on," he added.
"When we were winning the league the spirit was fantastic, we were like a band of brothers."
The likes of Robert Pires, Ashley Cole, Gilberto Silva and Sol Campbell - who have all since left the club - were also key members of Arsenal's unbeaten squad.

Wenger has recruited promising players like Theo Walcott, Samir Nasri and Aaron Ramsey, while he has also been keen to promote youngsters from the club's ranks into the first team.
But he has suggested he could bring the 33-year-old Vieira - Arsenal's captain in the 2003/04 season - back to the club.
And Toure suggested that Gunners boss Arsene Wenger's reluctance to match the spending of the other top clubs has led to Arsenal dropping down the pecking order at the elite end of the English game.
"The best teams are at the top only because they have the best players and to get those players you have to spend a lot of money," he said.


Wenger keeps on talking about the team's potential from last season and it seems he is not really interested in replacing the departed players

smoking gunner

"You can't be successful in football without money. This is the football business."
Toure is unlikely to have any such troubles at Eastlands, with City blowing their Premier League rivals out of the water in terms of the transfer fees they have paid so far this summer.
With Gareth Barry, Carlos Tevez, Roque Santa Cruz and Emmanuel Adebayor all arriving for big money, City have signalled their intent to challenge the established top four of Manchester United, Liverpool, Chelsea and Arsenal.
"City have a project to build a big team and so it is natural it is going to cost money," said Toure.
Arsenal finished fourth in the Premier League last season, as well as and have not lifted a trophy since the 2005 FA Cup.
 
Anachoongea Toure ni utumbo mtupu. Mmojawapo wa nafasi iliyotakiwa kuongezwa nguvu ni ile alokuwa akichezea yeye, hivo ni vioja kusema eti timu inapwaya wakati yeye mwenyewe performance yake ni kituko. Akwende zake.
 
Kuna ukweli fulani kwenye comments za Toure......hasa on reluctance ya Mr. Bean kuimarisha kikosi!
 
...kwa wapenzi wa Arsenal tu, nyie kina Belo, Eqlypz na Masanilo msitie maneno yenu hapa ya kutuudhi;


...habari hii ina ka ukweli fulani wajameni,...

apart from Thierry Henry Barcelona, na kidooooogo Cashley Cole, nani mwingine amewika baada ya kuondoka Arsenal?

Msukosuko baina ya Toure na Gallas pia kwa kiwango fulani ulikuwa unaletesha makundi ndani ya team. Just like Andy Cole na Teddy Sheringham Manure miaka ile, ...no wonder losers wakawa Cole na Dwight Yorke, huku Sheringham na Solskjaer waka survive.

Anyway, msema kweli wiki chache zijazo mtanange utaanza... I cant wait siku Man City watapochuana na Arsenal... ha ha haaa..
 
Unajua ukiilinganisha ARS na Man-city kwa sasa itakuwa ni makosa;mpaka hivi sasa records aliyoandika ARS katika ligi ya Uingereza Man-city yuko nyuma sanaaa.Nadhani hata huu msimu hawataweza kufanya vizuri hivyo kama watu wanavyofikiria.
Ukiangalia sana wao sasa ndiyo wanaimarisha timu halafu itawachukua muda kuelewana kati ya mchezaji na mchezaji na bench la ufundi hadi hapo wanapokaa sawa msimu utakuwa umeisha ila msimu utakaofuata kama timu haita pukutika labda ndiyo tunaweza ongelea hiyo habari ya top 4.Na Sir Fergie ameizungumzia hii timu alipo kuwa tour Asia;kwa kifupi amei-under rate sanaaa kwa msimu huu.Na akahitimisha kwa kusema wapinzani wake bado ni ARS,The Blues na Liverpool;timu zenye mwelekeo wa kawaida ni Spurs,Aston Villa na Everton
 
Senderos, mwenye miaka 24, alijiunga na Arsenal mwaka 2003 na amechezea Arsenal mara 100 kabla ya kwenda kuchezea AC Milan kwa msimu wa 08/09 ikiwa ni mkopo.

Deal liko kwenye £6 million hivi.

Wenger ana mabeki zaidi ya sita hivyo anapunguza idadi. Wiki hii Arsenal wapo katika harakati za kusajili wachezaji kadhaa ambao wanatajwa kuwa ni Salomon Kalou wa Chelsea ambae Arsenal wapo tayari kulipa £6million ingawa Chelsea wanataka £8million.

Mwingine ni Marouane Chamakh kutoka Bordeaux ambae timu yake hio inadai milioni 15 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 wakati Wenger yupo tayari kutoa milioni 5 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…