Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Wakulu,
Bado Arsenal na Man City wanafanya mazungumzo na kuna gharama inayozungumzwa ya £15 million.
Kwa hio ndani ya masaa 24 yajayo kutakuwa na news zaidi za mchumi Wenger kuendelea kupata faida kutoka kwa wachezaji wote ambapo amewakuza na kuwapalilia.
Mara nyingi wanapozungumza kila kitu kinajadiliwa kuanzia mchezaji atapata kiasi gani katika hio deal na atalipwa kiasi gani kwa wiki ambapo mpaka sasa anajadili nao kiasi cha £126,000 kwa wiki (ikumbukwe mpaka sasa analipwa na Arsenal kiasi cha £70,000.