Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakulu,

Bado Arsenal na Man City wanafanya mazungumzo na kuna gharama inayozungumzwa ya £15 million.

Kwa hio ndani ya masaa 24 yajayo kutakuwa na news zaidi za mchumi Wenger kuendelea kupata faida kutoka kwa wachezaji wote ambapo amewakuza na kuwapalilia.

Mara nyingi wanapozungumza kila kitu kinajadiliwa kuanzia mchezaji atapata kiasi gani katika hio deal na atalipwa kiasi gani kwa wiki ambapo mpaka sasa anajadili nao kiasi cha £126,000 kwa wiki (ikumbukwe mpaka sasa analipwa na Arsenal kiasi cha £70,000.
 
Richard, according to ESPN wameshakubaliana fee na mchezaji anarudi England kutoka Austria. Endelea kujipa moyo kuwa bado wanafanya mazungumzo.
 
Richard, according to ESPN wameshakubaliana fee na mchezaji anarudi England kutoka Austria. Endelea kujipa moyo kuwa bado wanafanya mazungumzo.

Ni kweli lakini wakti tunaongea hapa ndio pande zote mbili zilikuwa kwenye mazungumzo.

Kolo yupo njiani akielekea Eastlands kwenye medical.
 
Eduardo, Arshavin, Bendtner na Van Persie washamiri kwenye mechi za kujipima nguvu.

Jana walicheza na timu ya Szombathelyi Haladas na Arsenal walionekana wote wapo tayari kwa mechi za Emirates Cup hapo tarehe 1 August siku ya jumamosi ambapo watacheza na Athletico Madrid pale uwanja wa Emirates.

Jumapili tarehe 2 August, Arsenal watacheza na Rangers ya Scotland. Timu ingine inayoshiriki Emirates Cup ni PSG St.Germain.

Mechi ya kwanza ya PL kwa Arsenal itakuwa dhidi ya Everton hapo Tarehe 15 August saa 17:30.
 
Arsenal mkiguswa kidogo tu kuhusu wachezaji mnawaachia heheh, ngoja watu watangaze kidau kwa Fabregas.
 
Arsenal mkiguswa kidogo tu kuhusu wachezaji mnawaachia heheh, ngoja watu watangaze kidau kwa Fabregas.

Hili linasikitisha, kushangaza na kuudhi sana. Mikakati ya timu nyingi ni kuongeza nguvu timu zao ili ziweze kufanya vizuri kwenye EPL na mashindano mengine ambayo zitashiriki, lakini mkakati wa Arsenal ni kuisambaratisha timu ambayo ilihitaji kuongezewa nguvu kidogo tu ili iwe kileleni kwenye EPL na si ajabu hata Ulaya sasa sijui kama itawezekana kuwemo hata katika top 5 teams. Aaaaargggghhhh! 🙁
 
Breaking news iliyopo sky sports sasa hivi ni kwamba Kolo Toure yuko njiani kuelekea Manchester kwa ajili ya medical, mchezo uwe umekwisha.And I should say....the price is £16m, which is not bad for a defender but who are we bringing in?
 
Hili linasikitisha, kushangaza na kuudhi sana. Mikakati ya timu nyingi ni kuongeza nguvu timu zao ili ziweze kufanya vizuri kwenye EPL na mashindano mengine ambayo zitashiriki, lakini mkakati wa Arsenal ni kuisambaratisha timu ambayo ilihitaji kuongezewa nguvu kidogo tu ili iwe kileleni kwenye EPL na si ajabu hata Ulaya sasa sijui kama itawezekana kuwemo hata katika top 5 teams. Aaaaargggghhhh! 🙁

...Wenger knows, usikonde mkuu!!
 
...Wenger knows, usikonde mkuu!!

'...Vierra, ooohhh! Viera woo-ohh hooo! Vierra!.... ooohhh!'
Ooopss, habari 'zilizovunjika' hivi karibuni, Patrick Viera anarudi Arsenal,...I wish Flamini naye angerudi!

Eboue game ya jana niliona baada ya mechi kama alikuwa anawaaga wapenzi na kuwarushia jezi. Safari ya kwenda Italy itakuwa imeiva? Naona Mr. Bean msimu huu ameamua tu kukaa kitako kula faida. Kuna kila dalili msimu huu atafutwa kazi.
 
arsenal sasa mchezaji mkongwe ni clichy........teh teh ukisikia kuloweka na MAJI YA BETRI ndo huku sasa
 
'...Vierra, ooohhh! Viera woo-ohh hooo! Vierra!.... ooohhh!'
Ooopss, habari 'zilizovunjika' hivi karibuni, Patrick Viera anarudi Arsenal,...I wish Flamini naye angerudi!

'...Vierra, ooohhh! Viera woo-ohh hooo! Vierra!.... ooohhh!'

'...Vierra, ooohhh! Viera woo-ohh hooo! Vierra!.... ooohhh!'

huo wimbo arsenal wa ajabu ajabu hawezi kuujua...
huo wimbo ulikuwa unaimbwa hata kama mpira anao kipa.....teh teh dah arsenal kwishne malaka
 
Eboue game ya jana niliona baada ya mechi kama alikuwa anawaaga wapenzi na kuwarushia jezi. Safari ya kwenda Italy itakuwa imeiva? Naona Mr. Bean msimu huu ameamua tu kukaa kitako kula faida. Kuna kila dalili msimu huu atafutwa kazi.

...kidogo kidogo naanza kuona miti inaanza kuteleza, lakini bila kujikaza kiume na kujipa moyo, kina Eqlypz, Belo, na wengineo wanaweza kabisa kumfanya mtu ajinyonge kama Bw. Suleiman Omondi wa Nairobi...

huo wimbo arsenal wa ajabu ajabu hawezi kuujua...
huo wimbo ulikuwa unaimbwa hata kama mpira anao kipa.....teh teh dah arsenal kwishne malaka

...Gang Chomba, long tym! Karibu tena bro 🙂
 
Eboue game ya jana niliona baada ya mechi kama alikuwa anawaaga wapenzi na kuwarushia jezi. Safari ya kwenda Italy itakuwa imeiva? Naona Mr. Bean msimu huu ameamua tu kukaa kitako kula faida. Kuna kila dalili msimu huu atafutwa kazi.
hawezi kufutwa kazi mpaka timu hiuzwe kwani board inampenda kwa vile budget yake ndogo kwahio board wanaangalia hisa zao.na ndio maana hii uza uza hapa imewastusha watu wengi na wenger hawezi kufanya vile bila kupata baraka za board.
 
Wenger cool on major moves

Thursday 30 Jul 2009
Arsenal manager Arsene Wenger has played down the prospects of him making major moves into the transfer market, despite losing both Kolo Toure and Emmanuel Adebayor to Manchester City.
Ajax defender Thomas Vermaelen is the only new arrival among the Gunners squad, with Wenger maintaining his policy of trusting in the players he already has at his disposal.

He told the club's official website: "I feel we are strong enough, but if we can add then we will do it.
"In England people think that all the problems can be sorted out by buying players.
"I believe the biggest target is to work hard in training, improve what we can improve and have confidence in the players that we have.
"If we need to add then we will. We have money available, so for us it is now important to spend it in the right way when we do it, or if we do it."
Meanwhile, midfielder Tomas Rosicky has played down the seriousness of the injury setback which has seen him miss several of the Gunners' pre-season games.
The 28-year-old has been sidelined for 18 months, but is confident that he will be at full fitness in the near future.
He added: "I have a feeling that I am finally getting back to my usual standard of football.
"During the injury struggle I began preparing many times, but it took a long time to get this far. I am fit, which is the most important thing now.
tatizo wenger anashindwa kuelewa sio sisi kwamba hatuna confidence na wachezaji waliokuwepo,tatizo ni wachezaji wenyewe hawana confidence na tumeona hayo last season.
 
We have money available, so for us it is now important to spend it in the right way when we do it, or if we do it."

Huyu bean naye bana.....ati tuna mihela.....ubahiri utatuua mwaka huu! Kwani wenzie wajinga wanao gombania wachezaji kama mapande ya nyama bucha? aaaaarg!
 
Heheh, ndio maana washabiki wengi wa Arsenal hapa JF wamechukua refugee kwenye Jukwaa la Urafiki, Mahusiano na Mapenzi kwa mwendo huu nusu ya first 11 itauzwa.
 
Back
Top Bottom