Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
...Wenger ana mabeki zaidi ya sita hivyo anapunguza idadi. Wiki hii Arsenal wapo katika harakati za kusajili wachezaji kadhaa ambao wanatajwa kuwa ni Salomon Kalou wa Chelsea ambae Arsenal wapo tayari kulipa £6million ingawa Chelsea wanataka £8million.
Mwingine ni Marouane Chamakh kutoka Bordeaux ambae timu yake hio inadai milioni 15 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 wakati Wenger yupo tayari kutoa milioni 5 tu.
Richard, I hope Viera atasajiliwa "kwa sababu maalum". Tatizo ninaloliona Arsenal hakuna 'Legend' kwenye dressing room wakuigiwa mfano. Blaise Matuidi...
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=Zc4sA5I892s&feature=related"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]
...akisajiliwa ataweza ziba pengo aloliacha FLAMINI, ingawa Nasri 'anajengwa' kucheza nyuma ya Fabregas katika 4-3-3 formation.
Magoli sina wasiwasi, yata flow toka pembe zote. Hatuhitaji striker mpya. Hata hivyo Kalou akisajiliwa itakuwa bonus vilevile kwa uzoefu wake wa Premier league,... Chelsea either hawajui kumtumia au kafunikwa vibaya na Drogba na Anelka.
Chamakh goal ratio yake sio nzuri bana, 1:4 ndogo sana hiyo. Angalau ingekuwa 1:2...unajua game ijayo hata asipofunga halaumiki!