Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Come again. Nipo hapa. Ila hakikisha mazungumzo yawe yanahusu Dowman and Dowman related "-" vs Bayern. Tusi diverge sana kutoka hapo.

Ila sina agenda yoyote mbaya against our players, iwe Madueke, Eze, Dowman, etc.. just against Bayern.. nipo hapa!
Sikuelewi umeandika nini
 
Tumekua dominant kwenye hii mechi in terms of possession ila hatujawa watamu kwenye chances. Zilikuepo chances but finishing ilikua below average.

Huyu Raya anaweza kupokea tena tuzo ya kipa bora. Tangu tupoteze dhidi ya Brighton tumereact vizuri na tumemaintain momentum.

Challenge yetu kwa sasa ni kuscore magoli mengi.
 
mkuu mm hata usemaje ila kumuweka Dowman over Madueke kwenye lineup, kwangu ni big NO!!, Dowman bado sana man yani BADO SANA.
 
Siku arsenal tukipata winger msumbufu, winger anajua boli dizaini ya luis diaz, sadio mane, kwa LW, kule RW hata level ya mahrez na striker anaejua boli wastani hata kiwango cha defoe.. hii timu itakuwa moto sana gyokeres na mwenzie kai hapana kwa kweli.. hawa kina guirassy wanaweza kutufaa.
 
Sijatizama game ya chelsea vipi kudus kakiwasha huwa namuelewa yule jamaa
 
Mimi naona Tzolis kule LW ni mtu sahihi. Anahitaji challenge tu ili azidi kuimprove.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…