Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Inaelekea jana ulifurahi kweli, hongereni Arsenal fans ukiwemo wewe, Shadow, Next Level, Peasant,BAK, Arsene Wenger n the rest...Ila msijipe moyo sana, ha ha ha
 
Inaelekea jana ulifurahi kweli, hongereni Arsenal fans ukiwemo wewe, Shadow, Next Level, Peasant, Arsene Wenger n the rest...Ila msijipe moyo sana, ha ha ha
ha ha ha asante sana tusipojipa moyo atatupa nani? lol sasa tunashinda tusishangilie ,tukifungwa tufanyaje mnataka? ndege wote walie akilia bundi uchuro .
 
True, I am sure Drogba will be happy to be joined by Eduardo in diving business!
unajua sisi watu waajabu sana.miaka miwili iliyopita kwenye robo fainali babel ali dive vizuri na wakapata penati ya kuwa boost nzuri na matokeo yakabaki vile vile tulilalamika yakaisha.na hii issue leo tumepewa sisi zawadi kwahio kila timu ina siku yake inaweza kwenda your way or against your way.FIFA hawataki kutumia video replay kwahio watajijua wenyewe.refa akiwa kwenye angle mbaya sio rahisi kuona kila kitu.au kama mnataka kila mchezaji apewe filimbi uwanjani lol.
 
MMhm.... Kuwa wachawi tayali wameshafungua thread mbili, kama vile hii haitoshi.
 
Inaelekea jana ulifurahi kweli, hongereni Arsenal fans ukiwemo wewe, Shadow, Next Level, Peasant, Arsene Wenger n the rest...Ila msijipe moyo sana, ha ha ha

Belly,

Asante sana.....ha!ha!ha!ha! hizi ni rasharasha tu....mvua bado.....c u on Saturday!
 
tusbirie baadae tujue kuhusu kama fabregas atakuwa fit au hapana manake alikuwa 50-50 mpaka jana.kama hatokuwa fit nadhani inabidi tumuachie mikoba yote mzee arshavin pale.
 
tusbirie baadae tujue kuhusu kama fabregas atakuwa fit au hapana manake alikuwa 50-50 mpaka jana.kama hatokuwa fit nadhani inabidi tumuachie mikoba yote mzee arshavin pale.

...dah, wamemshikia bango Eduardo mpaka UEFA imemcharge kwa kosa la diving" utadhani pale ni beach!

...haya, historia ishawekwa hiyo. "...mkuki kwa nguruwe!", EPL na UEFA si zinaendelea? tutawaona wapiga mbizi mashuhuri, Drogba, Ronaldo, et al watavyoadhibiwa na hii Video Evidence.

Wameyataka wenyewe kubadilisha; Uamuzi wa refa sio wa mwisho!
 

Hehehe unasound kama kocha wenu lol....

 
kweli mkuki kwanguruwe kwabinadamu mchungu. na pia wanasema kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Fabregas to miss Manchester United Clash:
 
Hehehe unasound kama kocha wenu lol....

Arsenal

vs

Manure
...few more hours to go ndio mtajua tuna sound kama Kocha wetu au SAF wenu, 😡...grrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
swala la eduardo uefa wamechemsha sana na wataleta matatizo makubwa sana baadae.kila timu itakuwa inalalamika sasa.huwezi kutengua maamuzi ya refa kwa video replay wakati hutaki kutumia video replay wakati wa mechi kuwasaidia marefa.
 
Ni Mapumziko SAF kanuna ile mbaya 🙂 anatafuna BIG G yake utafikiri ugomvi. Gunners 1 MANU 0
 
wakuuu naogopa sana red card kwa song.hapa presha hiko juu sana na diaby anazubaa sana na mpira.naomba muongeze dua zenu wakuu.
 
Mkuu arsenel wenger usiwe na wasiwasi

wataaaaaaaaaaaaaaashindana lakini hawatashindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


uwe na imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…