Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1-1 Rooney anarudisha kwa penalty
 
naona mistakes zimetu cost leo.we dominated the game but the penaty was the turning point then diaby goal just hard to take it.tuko powa timu nzuri so far.
 
naona mistakes zimetu cost leo.we dominated the game the penaty was the turning point then diaby goal just hard to take it.

Hata Bikra hutoka hivyo hivyo, unachacharika weee halafu jamaa anawasha chap!! BIKRA YA ARSES IMETOKA LEO NA BEAN KATIMULIWA TOUCH LINE

Offside ya mwaka nimeiona hiyo... Huyu linesman Kimavi!!
 
nomaaa sana walikuwa washakubali jamaa penati imewatoa.lakini nawakubali vijana wangu msimu unaonekana mzuri sana huu.leo makosa yametupeleka pabaya.
 
Maamuzi mengi always huwa yanakuwa in favor ya Man utd hasa wanapokuwa OT....sikuona sababu ya Rooney Penalti na hata goli la van persie should have stand....!
 
Maamuzi mengi always huwa yanakuwa in favor ya Man utd hasa wanapokuwa OT....sikuona sababu ya Rooney Penalti na hata goli la van persie should have stand....!
powa tu mkuu sio mbaya tumefungwa kwa makosa yetu sio kwa mpira mbovu manake mpira tulikuwa tumeutawala mpaka hile penati sio.
 
Maamuzi mengi always huwa yanakuwa in favor ya Man utd hasa wanapokuwa OT....sikuona sababu ya Rooney Penalti na hata goli la van persie should have stand....!

Ila siku ya leo haiwezi kuisha bila kuzungumzia mchango wa refa ktk kufanikisha ushindi wa Man U. Baada ya kufuta penati ya Arsenal pale Arshavin alipoangushwa na Fletcher, bila aibu kipindi cha pili aliamua kutoa penati na kadi juu kwa faulo ambayo sio yenyewe.

Pia nimeangalia statistics za faulo, naona alishapanga kumtoa mchezaji mmoja wa Arsenal kwa kadi nyekundu, maana ametoa kadi 6 kwa Arsenal na wote kwa faulo zao za kwanza, na kadi 3 tu kwa Man U wakati wastani wa faulo ni Arsenal 15 Man U 22.

Inabidi maafisa wa FA waimarishe kitengo cha uamuzi la sivyo ligi itakosa umaarufu kama Serie A
 
Hata Bikra hutoka hivyo hivyo, unachacharika weee halafu jamaa anawasha chap!! BIKRA YA ARSES IMETOKA LEO NA BEAN KATIMULIWA TOUCH LINE

Offside ya mwaka nimeiona hiyo... Huyu linesman Kimavi!!
MTN tunawapa kazi ya kuondoa bikra ya Chelsea
 
Poleni sana vijana wa Arsenal, mmekufa kiume na kama siyo refa gemu lilikuwa lenu.
 
Maamuzi mengi always huwa yanakuwa in favor ya Man utd hasa wanapokuwa OT....sikuona sababu ya Rooney Penalti na hata goli la van persie should have stand....!

thats why Mkuu Masanilo wewe hukuwa refari.....Arsenal kweli jana walipoteana kumbe aipokuwepo Fabregas pale kati mnakuwa kama Majimaji ya songea
 
Najua watani mkiona habari kama hizi Pressure inapanda, pressure inashuka.
 
Kumbe mkifungwa huwaga mwanena kwa lugha mbalimbali kama wahubiri?...Lol!! Mtoto yake nepi, pesa analala nayo MZAZI. Na mtasema yote mwaka huu, next time msikanyage OT coz u claim that we ar being favored.

Tehetehe!!..Mbu upo bro?
 
...nipo ndugu yangu, ila jumamosi ile imenitoa nyongo! ...Marefa wa EPL wanamuogopa sana SAF. I bet kama si mashabiki wa Manure hawa. Game ile Arsenal wamekula card sita za njano, foul alofanyiwa Arshavin fata penalti basi?

...goli la RVP eti off-side... kama hiyo haitoshi hata AW naye eti katolewa uwanjani... tena huko huko kwenye stands bado tu refa anamfuata fuata, utadhani ni dhambi kuonyesha emotions zako. Ingekuwa ni hivyo basi Rooney na SAF siku zote wangekuwa 'lupango' aisee...

Wanajikomba sana hawa marefa aisee. Na nyie Liverpool na Chelsea mnaoshabikia maamuzi ya siku ile ngojeni yawafike ndio mtapoamini kilio cha Banitez na Mourinho enzi zake kuwa Marefa wanawa favor Man U, hasa Old Trafford!!!

...Sept 12 na Man City, ...duh, Adebayor anataka sifa! ha ha ha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…