Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona mistakes zimetu cost leo.we dominated the game the penaty was the turning point then diaby goal just hard to take it.
Arsenal
vs
Manure
...few more hours to go ndio mtajua tuna sound kama Kocha wetu au SAF wenu, 😡...grrrrrrrrrrrrrrrrrr!
powa tu mkuu sio mbaya tumefungwa kwa makosa yetu sio kwa mpira mbovu manake mpira tulikuwa tumeutawala mpaka hile penati sio.Maamuzi mengi always huwa yanakuwa in favor ya Man utd hasa wanapokuwa OT....sikuona sababu ya Rooney Penalti na hata goli la van persie should have stand....!
Maamuzi mengi always huwa yanakuwa in favor ya Man utd hasa wanapokuwa OT....sikuona sababu ya Rooney Penalti na hata goli la van persie should have stand....!
hapa mpaka sept 12 mbali sana kujaribu kubounce baki kwa man city.
MTN tunawapa kazi ya kuondoa bikra ya ChelseaHata Bikra hutoka hivyo hivyo, unachacharika weee halafu jamaa anawasha chap!! BIKRA YA ARSES IMETOKA LEO NA BEAN KATIMULIWA TOUCH LINE
Offside ya mwaka nimeiona hiyo... Huyu linesman Kimavi!!
Maamuzi mengi always huwa yanakuwa in favor ya Man utd hasa wanapokuwa OT....sikuona sababu ya Rooney Penalti na hata goli la van persie should have stand....!
Barcelona president Joan Laporta has identified his club's pursuit of Arsenal midfielder Cesc Fabregas as a ''special case'' and claims that it is ''no secret'' that the Spanish champions want to sign him.
Gunners boss Arsene Wenger has been unimpressed by the Catalan side's attempts to sign his captain this summer, with reports of a £30m bid surrounding the Spaniard for months.
And Laporta said: ''I apologise if I bothered Mr Wenger, because I respect him very highly and the job he is doing. But he knows perfectly that the case of Cesc Fabregas is special.
''He is a Catalan player from our youth team and it is not a secret that we love this player.''
Fabregas, who missed Saturday's 2-1 defeat by Manchester United because of a hamstring injury, was picked up from the Nou Camp academy for around £500,000 by Wenger in September 2003.
He has made it clear in the past that he would relish a return to his former club, but has also remained faithful to Arsenal and, most importantly, Wenger.
Kumbe mkifungwa huwaga mwanena kwa lugha mbalimbali kama wahubiri?...Lol!! Mtoto yake nepi, pesa analala nayo MZAZI. Na mtasema yote mwaka huu, next time msikanyage OT coz u claim that we ar being favored.
Tehetehe!!..Mbu upo bro?