Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahhhh! Tumeshatunguliwa dakika ya 20 na Michael Richards, goli la kizembe makosa ya nyanda.
 
diaby atoke aingie rosicky,dogo anakaa na mpira sana mpaka anapoteza.kitu kingine naona vijana wanaanguka sana inabidi wakaze misuri manake refa wanazipeta zote kwahio haisaidii kudondoka hovyo hovyo.game bado tunaweza kuibadirisha inategemea na wenger atafanya mabadiriko saa ngapi.
 
...mpwa naona umetuvalia njuga leo, 🙂 kwako kunaungua vile vile...

STOKE 1 -0 CHELSEA!

Aloo the scums washarudisha... Drogba kachapa bunduki la kufa mtu
 
Heheehe, duh ishakuwa noma maana juzi nimewatetea Arsenal sasa wanataka kuniangusha.
 
Hongereni, naona mmeongeza presha ya mashambulizi
 
Bado tunakula sahani moja na Big Spenders of this season.
 
diaby hatoke haje ramsey au eboe.

...kwenye tactics, inabidi Diaby acheze pale ndio maana Arsenal imetawala kiungo leo. Kwa mfumo wanaocheza Man City, Ramsey atalikoroga, hana ubavu...afadhali kidogo ya Eboue...
 
Kitendo alichofanya Adebayor kwa Van Persie lazima kilaaniwe.... He thinks he is all that!!!!!!!!!


Poleni 2-1
 
Bellamy katutungua, Arsenal 1 Mancity 2
 
Kitendo alichofanya Adebayor kwa Van Persie lazima kilaaniwe.... He thinks he is all that!!!!!!!!!


Poleni 2-1

...balaaa, miti inaanza kuteleza nini sasa? 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…