Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimeona move ya adebayor, simpendi lakini kapita bezi zaidi ya watatu
 
...ndio maana nikasema balaa! ....halafu katutungua vile vile....balaaaaaaaaa!
 
Kufungwa na Ade ni sawa na kufanywa kinyume na maumbile
 
...haki ya mungu nakwambia!...

ARSENE WENGER lazima aliwe nyama leo, duuuh! inauma kwakweli. Msimu ndio umemalizika rasmi leo nini?
 
Halafu umemuona Ade alivyoshangilia? utadhani mwehu ahhhhh! haya naona tunapoteza mechi ya pili mfululizo. 4-1 🙁 kapu la magoli
 
.....4 - 1 wakuu...nasikia baridi!!! 🙁
 
nomaaa .hapa naogopa mtu kupewa kadi nyekundu tu.

...Noma ya kupoteza mechi mbili mfululizo maana yake catch up itakuwa hadithi za abunuwasi vile vile...

Arsene Wenger si ajabu akaja na vihadithi vyake vya majeruhi,...ARSHAVIN na NASRI...!

...pheeeeeeeeeeeeeeeeewwwwwwwwwwwwwwww!...
 
Usiwaze sana wasiokuwepo, There is very huge positive though... Rosicky is very good and he came back good with a goal, Eduardo kache za vizuri

Na mmeshambulia vizuri sana sema bahati haikuwepo
 
mbu siwezi kulalamika kuhusu majerui,naona wachezaji wetu walipoteza focus kwenye mpira akili yao yote ilikuwa kwa adebayor.man city hawatishi lolote sisis leo ndio tulikuwa wabovu kupita kiasi.watu wameshindwa kufocus kwenye game wanaleta beef na adebayor.
 
...ha ha haaaa! haya bana... usije ukakilaani kitanda ulichokilalia na upande ulioamkia tu! 😀

Pole sana mkuu,unajua hizi ndoto za usingizi wa mchana noma sana.Kumbe nilitafsiri ndoto vibaya,nilipoona Adabayor anafunga goli la tatu nikajua na yale ya mwanzo kafunga yeye.Iam sorry kwa kukumislead mkuu.Lakini umeamini mandoto yangu ni ya ukweli.

Kwa hakika msiba uliowafika ni mkubwa sana,hasa ule wa kufungwa na adebayor,poleni sana.
 
...wasiwasi wangu mkubwa sasa ni huo uwezo wako wa kugeuza hadithi, yaani hata mnajimu mkuu shk Yahya na hadithi yake ya sura ya mwanamke haifui dafu hapa...

shukrana sana bana... ila si unajua tena msiba siku tatu?! 😀
 
Watani poleni.

...haisaidii sana mkuu, labda mkiwafunga Spuds leo kidooogo nitafarijika...

mbu siwezi kulalamika kuhusu majerui,naona wachezaji wetu walipoteza focus kwenye mpira akili yao yote ilikuwa kwa adebayor.man city hawatishi lolote sisis leo ndio tulikuwa wabovu kupita kiasi.watu wameshindwa kufocus kwenye game wanaleta beef na adebayor.

...samahani mkuu Arsene Wenger wa JF, namaanisha ARSENE WENGER (mfaransa) wa Arsenal...

Ubingwa wenu mwaka huu.....Lol!

...haya bana, nanyi hamjauvuka mto bado...
 
...haisaidii sana mkuu, labda mkiwafunga Spuds leo kidooogo nitafarijika...

...samahani mkuu Arsene Wenger wa JF, namaanisha ARSENE WENGER (mfaransa) wa Arsenal...

...haya bana, nanyi hamjauvuka mto bado...

Hapa kwa Spurs ni shughuli leo hehehe.....ila hawa watoto uwa tunakawaida ya kuwavurugia parade yao. Ngoma wiki ijayo kwenye derby.
 
Mbu leo mmesambaratishwa eeh?!..poleni sana mkuu

BJ.... ha ha ha, umeadimika sana...
ahsante nishapoa. Game mbili Manchester zimeisha vibaya...
kipigo cha leo hakijaniuma sana kama mlivyotudhulumu siku ile...😀

Ta!
 
Back
Top Bottom