Nimeona move ya adebayor, simpendi lakini kapita bezi zaidi ya watatu
Kufungwa na Ade ni sawa na kufanywa kinyume na maumbile
.....4 - 1 wakuu...nasikia baridi!!! π
Pole mkuu mwenzangu!!! Hii ni siku mbaya kazini
nomaaa .hapa naogopa mtu kupewa kadi nyekundu tu.
...Noma ya kupoteza mechi mbili mfululizo maana yake catch up itakuwa hadithi za abunuwasi vile vile...
Arsene Wenger si ajabu akaja na vihadithi vyake vya majeruhi,...ARSHAVIN na NASRI...!
...pheeeeeeeeeeeeeeeeewwwwwwwwwwwwwwww!...
...ha ha haaaa! haya bana... usije ukakilaani kitanda ulichokilalia na upande ulioamkia tu! π
Pole sana mkuu,unajua hizi ndoto za usingizi wa mchana noma sana.Kumbe nilitafsiri ndoto vibaya,nilipoona Adabayor anafunga goli la tatu nikajua na yale ya mwanzo kafunga yeye.Iam sorry kwa kukumislead mkuu.Lakini umeamini mandoto yangu ni ya ukweli.
Kwa hakika msiba uliowafika ni mkubwa sana,hasa ule wa kufungwa na adebayor,poleni sana.
Watani poleni.
mbu siwezi kulalamika kuhusu majerui,naona wachezaji wetu walipoteza focus kwenye mpira akili yao yote ilikuwa kwa adebayor.man city hawatishi lolote sisis leo ndio tulikuwa wabovu kupita kiasi.watu wameshindwa kufocus kwenye game wanaleta beef na adebayor.
Ubingwa wenu mwaka huu.....Lol!
...haisaidii sana mkuu, labda mkiwafunga Spuds leo kidooogo nitafarijika...
...samahani mkuu Arsene Wenger wa JF, namaanisha ARSENE WENGER (mfaransa) wa Arsenal...
...haya bana, nanyi hamjauvuka mto bado...
Mbu leo mmesambaratishwa eeh?!..poleni sana mkuu