Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kama nilivosema wana Justine Hoyte mtoto mwingireza ambae anatarajiwa kuanza leo akichukua nafasi ya Bacary Sagna. Pia Theo Walcot Anatarajia kuchukua nafasi ya Nicklas Bendtner au akaanzia benchi.

West Ham au the Hummers wana kusudio la kuharibu party ya Arsenal ya kukaa juu ya msimamo wa ligi hii ngumu, lakini nao wana wachezaji wazuri ambao ni majeruhi kama Nolberto Solano, Scott Parker na Freddie Ljungberg ambao wana matatizo ya misuli na goti kwa Parker.

Pia wana wachezaji wengine wazuri kama Craig Bellamy, Kieron Dyer and Bobby Zamora na Julien Faubert, Matthew Etherington pamoja na Lee Bowyer.

Sasa timu kamili zinazotarajiwa tutapata soon
 
Teams updates:

Arsenal: Almunia, Hoyte, Toure, Gallas, Clichy, Eboue, Fabregas, Flamini, Rosicky, Eduardo, Adebayor.

Subs: Lehmann, Diaby, Hleb, Song Billong, Walcott.

West Ham: Green, Neill, Ferdinand, Upson, McCartney, Pantsil, Mullins, Spector, Noble, Ljungberg, Cole.

Subs: Wright, Ashton, Tomkins, Camara, Collison.
 
Goli: dakika ya 1 na sekunde nne

Goli la kwanza linafungwa na Eduardo baada ya kupokea pasi kutoka kwa Fabregas
 
Adebayo anafunga goli la pili dakika ya 19. Arsenal are really superior side here!
 
Dakika ya 37

Fredie Ljungberg mambo yamemshinda na anatoka msuli unauma!
 
Dakika ya inaenda ya 60 na kuna dalili ya Arsenal kupata goli la tatu.

Hakika tunaenjoy na watu wote wanaimba nyimbo wanazozijua kwa mbwembwe Arsenal wana control much of the ball possession.
 
Christmas on top, New year on top-Fabulous! nobody would have predicted this before the start of this season, everyone was writing us off but the kids are proving everyone wrong!
 
Wenger should put out our first team against Spurs in two weeks, we were very lucky to escape a defeat today. We desperately need to win a trophy this season, any trophy. Hivi vitoto vilizidiwa sana leo na for God's sake this is semi- final, he should give them a brake yasije yakatukuta yale ya final ya Carling cup mwaka jana against Chelsia- tulipanga vitoto ,wenzetu wakaja na full squad. Im confident our first team can get the results at White Hart Lane, they have been there and done it before!
 
theo_682x400_416819a.jpg

WAL SMART . . . Theo Walcott savours the moment after levelling

ARSENAL striker Theo Walcott enjoyed a slice of luck to make it 21 games without a win in the north London derby for Spurs. The youngster, watched by England boss Fabio Capello, struck with 10 minutes left to break Tottenham's hearts in the League Cup semi-final first leg. It was substitute Eduardo's slide rule pass that cut the defence in half, before Lee Young Pyo tackled the ball into Walcott's chest, sending it ballooning into the net.

Spurs fans must have thought tonight was the night after Jermaine Jenas had given them the lead before half-time. The midfielder was on hand to tap the ball into an empty net after Robbie Keane had combined with Dimitar Berbatov. But Tottenham's winless streak, that started in 1999, will continue with Walcott having the last laugh.

Arsenal: Fabianski, Justin Hoyte, Djourou (Sagna 46), Senderos, Traore, Walcott (Randall 90), Denilson, Silva, Diaby, Van Persie (Eduardo 46), Bendtner Subs Not Used: Mannone, Gavin Hoyte. Goals: Walcott 79.

Tottenham: Cerny, Chimbonda, Dawson, King, Lee, Lennon, Jenas, O’Hara, Malbranque (Boateng 77), Berbatov, Keane (Defoe 83). Subs Not Used: Robinson, Stalteri, Taarabt. Goals: Jenas 37.
Att: 53,136
Ref: Mike Dean (Wirral)

They said it was a fluke goal...............Was it?
 
His movement to get that position was no fluke at all. Infact, the way he confused/disoriented the 'veteran' or rather experienced Ledley King, shows that was a very smart movement by Theo Walcott. So he deserved the luck to score.......if it was flukey!!

KKN, naona tatizo ni defence yetu tu. Inasikitisha jinsi ambavyo Senderos anavyopwaya. Kuna kipindi alimkarisha benchi Sol Campbell, nashangaa kwanini hajafikia hiyo level tena.
 
Nzoka hapo kwenye defence ndio kunaweza kutokesha ubingwa mwaka huu, without Kolo for about a month you should expect Sendoros to be paired with Gallas, Im a worried man now.
 
Jamani,mmelisikia hilo la muungwana kuoa mke wa pili?kwamba keshaoa wa pili,ambae ni binti wa mama zakia meghji?kama kuna mtu ana habari zaidi atumwagie humu jf.
 
Jamani,mmelisikia hilo la muungwana kuoa mke wa pili?kwamba keshaoa wa pili,ambae ni binti wa mama zakia meghji?kama kuna mtu ana habari zaidi atumwagie humu jf.
Kamanda hab'ri hii na ukumbi wa asenali wapi na wapi? Kuna kona ya nyepesi na udaku au kule kwenye masuala ya mapenzi unaweza chagua ipi ni muafaka kuposti huko...
 
duh mko kwenuu mwatoa draw na timu ndooogooo na penalti ya kupewa mkapewa piaa bado hamjashinda!!poleni ehh!!haya jifunzeni mpira old trafford kulee
 
Christmas on top, New year on top-Fabulous! nobody would have predicted this before the start of this season, everyone was writing us off but the kids are proving everyone wrong!

yeah yeah yeah i now support u...ha hah ha haaaa

kumbe nyie target yenu mwawaga mwataka xmas na new year muwe on top???!!!!safi sana nice target hiyo wakati wenzenu wanagombania ikifika may wawe on top!!hizo ndio target za wajua mpira kama Man utd
 
Last three seasons- timu ambazo zilikua top on xmass they won the title, hiyo ni for your info tu incase ulikua hujui why I got excited there.
 
Last three seasons- timu ambazo zilikua top on xmass they won the title, hiyo ni for your info tu incase ulikua hujui why I got excited there.

hatujui hayo wala hatutaki yasikia kwa sasa...
tofauti hiyo ni sawa naile ya simba (TZ) wakicheza mvua ikanyesha basi lazma washinde
ila imani hiyo ni nzuri endeleeni jifariji...
 
Back
Top Bottom