BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
BJ, Leo kwa raha zetu. Bunduki kwa kwenda mbele. Van Parsie na Bendner ndo watakaomaliza kazi.
Du! Kumbe Mdachi in the house leo, he he..Ishalaah lolote litakalojiri, tutapongezana na kupeana pole au siyo!!?...
Naona muda unazidi kusogea, kama vile mtihani ukikaribia wakati ule tunasoma! Sipati picha una hali gani uliko?