Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...'mbele kiza mamie' ,.acha nijichekee zangu mie, lol! ...maisha yenyewe haya haya, raha ujipe mwenyewe! nikisubiri mpaka Adebayaor na Van Persie wafunge saa ngapi hiyo?...

Ni kweli jipe raha kabisaaa! Eti usubiri mpaka wafunge, leo lazima kujipa moyo! Mtashinda I hope maana upo happy sana!
 
Ni kweli jipe raha kabisaaa! Eti usubiri mpaka wafunge, leo lazima kujipa moyo! Mtashinda I hope maana upo happy sana!

...unaanza sasa, haya... ngoja nikachukue kikombe changu cha chai nianze kutafakari game!... tayari naangalia 'vionjo' hapa vya uwanjani Imarati...!

Listi umeiona lakini? naona Berbatov na Tevez mmewaweka kwanza Benchi,...yaani kweli nyiemnh, mnakwenda Imarati kukalinda hako kagoli kenu kamoja? ha ha ha haaaa 😀

aarrgghh, acha nijikalie kimya sasa. Thanks BJ kwa kujibu mashambulizi ya hapa na pale, BELO yeye time kama hizi anakuwa tayaaaaaaaaaaari anausikilizia mpira chini ya uvungu wa kitanda, huku kajiziba masikio kwa vidole vyake!

I WILL BE BACK 😀
 
Nimeiona listi,tuone shughuli kamili uwanjani.. Nikinywa chocolate ni wazo zuri zaidi maana nipate utamu wa ushindi mapema,subiri nitengeneze kabisa.

Thanx too Mbu, it was fun!.kila mtu anajivuta kwake.Half time urudi jamvini.

BRB..
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 10 (6 members and 4 guests) Mbu, Belo, Kagwina, Kana-Ka-Nsungu, kisale, Next Level

....AAAARRGGHH kumbe Belo yupo hapa leo, anakula chabo tu ninavyo bwabwaja... ha ha haaa...

Haya bandugu,....msema kweli dakika 90, 120, au matuta ikibidi...

Enjoy the game!!!!!!!!! Goodluck to you all! peace & Love
 
He who laughs last.......................Mbu malizia.
 
.....oyaaaaaaaaaaaa, washika bunduki wenzangu namnani pale?
hapajaharibika neno, ndio kwanza 45 za kwanza zimekwisha!
sema hizi goli za ugenini mnh!

come on ARSENAL!!!!!!!!!!! 😀
 
.....oyaaaaaaaaaaaa, washika bunduki wenzangu namnani pale?
hapajaharibika neno, ndio kwanza 45 za kwanza zimekwisha!
sema hizi goli za ugenini mnh!

come on ARSENAL!!!!!!!!!!! 😀

Kama hawapo,basi on their behalf jamani tusikate tamaa ndo kwanza kipindi cha kwanza..
Shadow hizo popcorn zimekunogea??

GO THE GUNNERS!!!!
 
Mbu, Shadow,BAK,Bala na wengineo!

Poleni sana, that was bad ila ni mpira tu msiume sana kushinda Wenger na vijana wake..PAMOJA wakuu
 
Mbu, Shadow,BAK,Bala na wengineo!

Poleni sana, that was bad ila ni mpira tu msiume sana kushinda Wenger na vijana wake..PAMOJA wakuu

...dah, we acha tu BJ, nilijua game itakuwa kali lakini sikujua Mashetani mekundu yatakuja kwa ukali namna hii, ...

Kwa mpira huu mnaoucheza Man U leo, si utani kutwaa mataji yote mwaka huu.

Duh, Penalti na Red Card,...tuangalie angalau la kufutia machozi.
 
Kwakweli hata kama Ars wangefungwa sikutegemea game lingekuwa hivi..Tena home sweet home
Angalau goli la penalti mmepata, washabiki wafurahi jamani.Dakika zayoyoma!..
Napenda uzalendo wako,keep it well and always for Arsenal au siyo!!!
 
...unajua huyu 'gaffer' wetu mwaka wa nne huu anatumia kisingizio cha 'youngsters', 'immaturity',...nk

Siwalaumu vijana, namlaumu AW kwa kutofanya usajili wa uhakika kuimarisha team.

All in all, many Congrats kwa Man U kwa kuwa the most consistent team in 2008-2009 season.

Acha sie washabiki tuendelee kuugulia vidonda, inauma lakini msimu ujao unaanza miezi mitatu ijayo!
 
....dah,

msimu unaisha hivi hivi mikono mitupu,....aaarrgghhh!
Anyway,...pre-season tulitwaa Amsterdam Cup pale Nederlands. 😀

CONGRATS MAN UNITED!
 
...unajua huyu 'gaffer' wetu mwaka wa nne huu anatumia kisingizio cha 'youngsters', 'immaturity',...nk

Siwalaumu vijana, namlaumu AW kwa kutofanya usajili wa uhakika kuimarisha team.

All in all, many Congrats kwa Man U kwa kuwa the most consistent team in 2008-2009 season.

Acha sie washabiki tuendelee kuugulia vidonda, inauma lakini msimu ujao unaanza miezi mitatu ijayo!

Thank you kwa pongezi kedekede!

I hope jamaa 'gaffer' kwa kuona mambo aliyochemsha including usaili, atarekebisha ili msimu ujao aje na mambo makini zaidi. Wakati anampa mkono Fergie baada ya mechi,amenifanya nimhurumie kweli maana kanywea sijui analia akiwa mwenyewe..Du!Nimemhurumia sijui kwanini

Tusikilizie kesho sasa, ya leo yamepita imebaki historia!
 
...kibarua kimeota majani!
 
Ndoto za Liverpool zimetimia, "they will never walk away, sorry ALONE". Gunners are by their side! Poleni, mpaka refa asaidia lakini hakuna ku-comeback mwanawane- kweli mmekwisha!
 
...kibarua kimeota majani!

Aisee!Still ni kati ya managers ninaowapenda,nitaumia!..

icon9.gif
 
Ha ha ha Who is dreaming now!? Dua la kuku....leo ni bao tu Msukuma wa Pwani 🙂 Pole in advance 🙂
Nimeota kuwa tumefanikiwa(Manchester United) kwenda Rome, vipi ni kweli?

BJ wasalaamu!
Hakuna cha mdadi wala nini! . BJ, Leo naomba umwangalie kwa makini mtafuna "big G" anavyocheza lizombe au Sangula! bila kujijua...

Nina Big G hapa unataka ya kupoozea maumivu?

BJ, Leo kwa raha zetu. Bunduki kwa kwenda mbele. Van Parsie na Bendner ndo watakaomaliza kazi.

Vipi bunduki zenu zili malfunction zikawa zinashoot blanks?
...watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! BJ hushangai leo Man U wenzio wooooote wameingia mitini?

...mie ni kicheko tu hapa, ha ha haaaaaa 😀

Tumeingia mitini au tulikuwa tunabook ticket za kwenda Roma?

"...he who laugh last, didn't get the joke at the 1st place!"

Or may be he didn't concede 3 goals.
 
Aisee!Still ni kati ya managers ninaowapenda,nitaumia!..

icon9.gif

...hakuna manager 'wa maisha',

...mwenzie Sir Alex Fergie kuna msimu ulimkalia vibaya nusura mashabiki wamkate shingo, akatangaza anaomba mwaka mmoja zaidi baada ya ku retire... matokeo yake amejenga kikosi imara, chenye wachezaji chipukizi na wakongwe...

...huyu AW yeye anabahati washabiki wa Arsenal ni wastahmilivu, lakini sasa ustahmilivu unaanza kutushinda,...nadhani uliona Board ilipompa ultimatum; "finishing outside top four is a failure", haraka haraka akamnunua Arshavin!

Timu haijengwi na chipukizi peke yake, lazima kuwe experience pia, wachezaji kama Pires, Gilberto, ...nk

It was a big big big mistake kumwachia FLAMINI aondoke kwa kukataa kumlipa tofauti ya £5,000 tu!

Haya, yalopita si ndwele,...tutange yajayo!
 
Back
Top Bottom