Paz3i
JF-Expert Member
- Oct 11, 2014
- 894
- 1,330
game overšAlipipi kashatabiri mnashinda mi sina tena wasiwasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
game overšAlipipi kashatabiri mnashinda mi sina tena wasiwasi
Mchele ana shida gani kuanza?
Mnaangalia mpira kwa link gani ndugu zangu...Yacine TV leo naona hawaoneshi...mwnye link please
Yacine wamezingua sana leo, ukipata link utusambazie upendo na sisi.Mnaangalia mpira kwa link gani ndugu zangu...Yacine TV leo naona hawaoneshi...mwnye link please
Natumia Yalla liveMnaangalia mpira kwa link gani ndugu zangu...Yacine TV leo naona hawaoneshi...mwnye link please
Tumia Yalla liveYacine wamezingua sana leo, ukipata link utusambazie upendo na sisi.
Castr msaada braza
Yalla inaniletea matangazo tu halafu hata hayaondoki.Tumia Yalla live
Castr msaada braza
tv.yalla-live.org
Kila Niki click inaniletea mitangazo tu...hii inakuwaje hii...msaadaNatumia Yalla live
Ni trick, lazima itafungua kwenye new window.Yalla inaniletea matangazo tu halafu hata hayaondoki.
Itakupa ads two times.Kila Niki click inaniletea mitangazo tu...hii inakuwaje hii...msaada
Hapana nafanyaje?Ni trick, lazima itafungua kwenye new window.
Hii new window usiifunge ndiyo itaonyesha mpira
Hapana nafanyaje?
Nikiclick yes inakuja mitangazo tu ya alibaba na haiondoki, ukiclick no hamna kitu inatokea. View attachment 3199884