Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana nafanyaje?
Nikiclick yes inakuja mitangazo tu ya alibaba na haiondoki, ukiclick no hamna kitu inatokea. View attachment 3199884
Check hiyo screen recorder kwa link hii

 
Sometimes hua namuangalia Bruno halafu nashindwa kumuelewa anawaza nini.
 
1000222846.jpg
 
Halafu kwanini hatuna utaratibu wa kupiga pasi za ndani, tukatengeneza triangles kama wanavyofanya City ili kumfungua mpinzani?

Timu muda wote inacheza wide passes tunabaki ku circulate nje ya box la mpinzani. Ndio sababu hata chances tunazo create ni chache na inakua ngumu kurudi kwenye mchezo tunapotanguliwa au timu inapofanya low block.
 
Bruno kashampeleka JESUS wodini na Odergaad anachechemea, kipindi cha pili harudi na sasa ndio tunamuingiza AMAD akawaue.
Bruno ana yellow pia kutokana na kurusha kiatu chini.

Let's watch
 
Back
Top Bottom