arteta hatochelewa kupata club nzuri, ila club ya arsenal itakaa 5 more years kupata tactician kama arteta. So the ground's yours arsenyani. #YNWAArteta atupishe tu. Hii timu hawezi ipeleka mbele zaidi. Tumshukuru kwa hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
arteta hatochelewa kupata club nzuri, ila club ya arsenal itakaa 5 more years kupata tactician kama arteta. So the ground's yours arsenyani. #YNWAArteta atupishe tu. Hii timu hawezi ipeleka mbele zaidi. Tumshukuru kwa hapa.
Tofauti ya points 10 ni mechi 3 tu, tena mna mchezo na liver, ligi bado hii nyie.Wakuu tuseme ukweli hii timu yetu mizaa imezidi. Bado sina hakika wazo la kutosajili January lilikua la Arteta au bodi yenyewe.
Misimu mitano ni mingi asee Arteta atupishe.
Ligi bado ila wapinzani nao wanataka ushindi, siioni liverpool ya kupoteza michezo mitatu kwa fixture iliyobakia.Tofauti ya points 10 ni mechi 3 tu, tena mna mchezo na liver, ligi bado hii nyie.
Mechi 10 ni nyingi ujue, chochote kinaweza kutokeaLigi bado ila wapinzani nao wanataka ushindi, siioni liverpool ya kupoteza michezo mitatu kwa fixture iliyobakia.
Ni nyingi ndio lakini kutegemea liverpool adondoshe points ni uongo, na wakati anadondosha points swali ni kwamba sisi arsenal tunaweza kushinda gemu zote?Mechi 10 ni nyingi ujue, chochote kinaweza kutokea
Kwa kweli basha'ake.Alivyoingia basha la arteta sterling, nikaamini it is over
Hapo kwenye arsenal kushinda zote napo mtihani, mimi ni shabiki wa liver lakini nitaanza kuhesabu ubingwa hadi zibaki mechi 5 na gepu liendelee kuwa hivihivi.Ni nyingi ndio lakini kutegemea liverpool adondoshe points ni uongo, na wakati anadondosha points swali ni kwamba sisi arsenal tunaweza kushinda gemu zote?
Fala mkubwa huyu.
Pimbi wakubwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] The true meaning of false hope. View attachment 3251239View attachment 3251240View attachment 3251241
Safi sanaArsenal ku handle pressure uwa ni mtihani sana kwetu,
Huyu jamaa anakufa siku si zake
Sio rahisi, ingawa idadi ya mechi inakupa matumaini ya miujiza. Hizi point 5 tulizopoteza zimetuondosha kwenye ubingwa.Mechi 10 ni nyingi ujue, chochote kinaweza kutokea
Yani nyumbu nawewe unataka utoe kauli? 😂😂😂Sijui niwasemeshe au niwaache!
Okay, lawama msimu huu tunazipeleka kwa nani kati ya wachezaji, arteta au utawala?