Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

gun__1251105561_510x250_medRes.jpg

clear.gif

...hip hip huurrrreeeeeyyyyy!
 
Man of the match: Four assists and a great goal ensures Cesc Fabregas takes all the plaudits. A great display.

Goal of the match: Walcott's goal was a great counter-attack, but Vermaelen and Bendtner hit superb strikes as well.

Moment of the match: The early goal for Rovers set a precedent for an open game, but they could not capitalise on the good start.

Talking point Fabregas' display. The midfield maestro was absolutely superb throughout and he deserved the standing ovation.
 
Arsenal leo imeonesha ile kitu inaitwa "resilience" , na inaonekana kwamba mwaka huu mambo si mabaya.

Leo Blackburn Rovers walikuja na mtindo wao wa mipira mirefu ambayo kocha wao Sam Allardyce aliwahi kutumia wakti akiifundisha timu ya Bolton na wakti ule Arsenal walikuwa na kazi ngumu dhidi ya timu hio.

Leo Blackburn walifanikiwa kwa mtindo huu na wakapata magoli yao mawili, lakini Arsenal leo walikuwa na ile kanuni yao ya "attacking brilliance and creativity" na matokeo yake tumeshuhudia.

Kocha mtarajiwa Thiery Henry alikuwapo uwanjani kushuhudia jitihada za wadogo zake alowaacha Arsenal wakifanya vitu vyao.
 
cesc.jpg


Leo nimefurahi kuona Cesc amecheza kwa kiwango tofauti na ile mechi ya Fulham. amechangia mabao karibu yote kasoro la Bendtner.
Huyu Vermaelen naona AW amemnunua kuziba nafasi za Toure na Ade! Jamaa anatisha (beki cum striker)
Mannone naona leo alikuwa wasiwasi mwingi na Clichy nae kidogo alikuwa mapepe.
Cha msingi tuna wafungaji wa kutosha karibu timu nzima ni wafungaji na ukichukulia tunashinda ingawa baadhi ya key players ni majeruhi (Almunia,Eduardo, Nasri na Denilson)
Naona mwaka huu tutarajie mema.
AW amesharudia maneno haya hivi karibuni "This team will win something this year" "This is a very important season for this team"
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=CpjvCu8YW4U"]http://www.youtube.com/watch?v=CpjvCu8YW4U[/ame]
 
Back
Top Bottom