Arsenal vs Manchester United

Arsenal vs Manchester United

Umesema ni gemu Kali sana, mara Man ananafasi ya kushinda!! Umelogwa wewe. Man hawana ubavu wa kutufunga Gunner's amini maneno yangu.
Boss kwani ni vita? Tujadiliane taratibu bila emotions
 
Zamani wenger alisumbuliwa na vitu viwili uingereza.
1.timu ya man u
2.kocha morinho.
Amevunja huo mwiko wote kwa kumchakaza Manchester United 3 bila tena kampiga 1 na kusare ktk vipindi vya karibuni.
Morinho naye sasa hafurukuti tena kwa wenger. Hii game ni ngumu balaa lakini wenger vijana wake kwa game za hv karibuni wamebadilika kiasi kwamba si mteremko kufungwa na Man United.
Beki ya wenger na kiungo viko vizuri. Laccazate sasa ni moto mkubwa pale mbele zaidi arsenal yoyote anakufunga tu.
Hakika dakika tisini zitaamua but nawapa arsenal ushindi dhidi ya Man united.
 
Juzi Arsenane amemfunga Huddersfield 5 anajiona kama mechi ya Man kashashinda..[emoji23][emoji23] Akili zao zimefanana kabisa na za Wenger. Unasajili mchezaji mmoja kwa msimu mzima halafu unataka kushinda timu kubwa hizi??? Mtasubiri sana.
Kwani wanaosajiliwa wanatoka mbinguni hadi wasiposajiliwa ionekane ni ajabu. Sawa hawajasajiliwa wengi mbona wanashinda.
 
Yule uliyempa tigo, anaamini we ni negative..mpe moyo basii. Asije kufA buree
Huna hoja zaid ya matuc kaa boss wako wa man u.......jina yenyey lnajieleza kuwa unaweza tamka taira
 
Man united hawana beki y a kumzuia Alesix sanchez
 
Zamani wenger alisumbuliwa na vitu viwili uingereza.
1.timu ya man u
2.kocha morinho.
Amevunja huo mwiko wote kwa kumchakaza Manchester United 3 bila tena kampiga 1 na kusare ktk vipindi vya karibuni.
Morinho naye sasa hafurukuti tena kwa wenger. Hii game ni ngumu balaa lakini wenger vijana wake kwa game za hv karibuni wamebadilika kiasi kwamba si mteremko kufungwa na Man United.
Beki ya wenger na kiungo viko vizuri. Laccazate sasa ni moto mkubwa pale mbele zaidi arsenal yoyote anakufunga tu.
Hakika dakika tisini zitaamua but nawapa arsenal ushindi dhidi ya Man united.
Hujasikia laccazate hachezi?
 
Kwani wanaosajiliwa wanatoka mbinguni hadi wasiposajiliwa ionekane ni ajabu. Sawa hawajasajiliwa wengi mbona wanashinda.
Endelea na huyo Wenger wako...Ramsey,Wilshere,Giroud,Coquiline, Walcot...wana miaka zaidi ya mitano hapo na hawajawahi kufanya chochote na hata ukisema leo unawatoa bure kwa Cristal Palace hawawapokei na bado unajiona una mipango ya kushinda. Akili hizi ni za Wenger pekee.
 
Wadau kuelekea mechi kubwa wikiendi hii kati ya arsenal dhidi ya Manchester United hapo jumamosi nimeona sio kesi kuanzisha uzi huu kwa ajili ya wapenda soka tujuzane yatakayokuwa yanajiri mpaka dakika tisini za mchezo huo zitakapokamilika! Karibuni sana wapenda soka wenzangu.
Kitambo sana Arsenal aliwahi kukalia 8_0 mtungi leo anakalia na kubembelezwa kwa 4g warembo tu hao
 
Majeruhi hawa ni hasara zaidi kwa timu gani??
 
Attachments

  • 24176770_498734943835735_8156761531676488361_n.jpg
    24176770_498734943835735_8156761531676488361_n.jpg
    28.9 KB · Views: 42
  • 24176770_498734943835735_8156761531676488361_n.jpg
    24176770_498734943835735_8156761531676488361_n.jpg
    28.9 KB · Views: 46
Zamani wenger alisumbuliwa na vitu viwili uingereza.
1.timu ya man u
2.kocha morinho.
Amevunja huo mwiko wote kwa kumchakaza Manchester United 3 bila tena kampiga 1 na kusare ktk vipindi vya karibuni.
Morinho naye sasa hafurukuti tena kwa wenger. Hii game ni ngumu balaa lakini wenger vijana wake kwa game za hv karibuni wamebadilika kiasi kwamba si mteremko kufungwa na Man United.
Beki ya wenger na kiungo viko vizuri. Laccazate sasa ni moto mkubwa pale mbele zaidi arsenal yoyote anakufunga tu.
Hakika dakika tisini zitaamua but nawapa arsenal ushindi dhidi ya Man united.
wee hufuatilii mpira hebu subiri hyo weekend umuone lacazete wako
 
Back
Top Bottom