mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Boss kwani ni vita? Tujadiliane taratibu bila emotionsUmesema ni gemu Kali sana, mara Man ananafasi ya kushinda!! Umelogwa wewe. Man hawana ubavu wa kutufunga Gunner's amini maneno yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss kwani ni vita? Tujadiliane taratibu bila emotionsUmesema ni gemu Kali sana, mara Man ananafasi ya kushinda!! Umelogwa wewe. Man hawana ubavu wa kutufunga Gunner's amini maneno yangu.
Walipofungwa hizo tatu juzi walikuwa wamesimama uwanja huohuo.Labda kama wachezaji wa man united wakiwa wamesimama
Kwani wanaosajiliwa wanatoka mbinguni hadi wasiposajiliwa ionekane ni ajabu. Sawa hawajasajiliwa wengi mbona wanashinda.Juzi Arsenane amemfunga Huddersfield 5 anajiona kama mechi ya Man kashashinda..[emoji23][emoji23] Akili zao zimefanana kabisa na za Wenger. Unasajili mchezaji mmoja kwa msimu mzima halafu unataka kushinda timu kubwa hizi??? Mtasubiri sana.
Huna hoja zaid ya matuc kaa boss wako wa man u.......jina yenyey lnajieleza kuwa unaweza tamka tairaYule uliyempa tigo, anaamini we ni negative..mpe moyo basii. Asije kufA buree
Unaota wewe. I think watatoka suluhu. Arsenal atapark bus na Mourinho ataingia na Bombardier tatuArsenal itashinda 3-0
Hujasikia laccazate hachezi?Zamani wenger alisumbuliwa na vitu viwili uingereza.
1.timu ya man u
2.kocha morinho.
Amevunja huo mwiko wote kwa kumchakaza Manchester United 3 bila tena kampiga 1 na kusare ktk vipindi vya karibuni.
Morinho naye sasa hafurukuti tena kwa wenger. Hii game ni ngumu balaa lakini wenger vijana wake kwa game za hv karibuni wamebadilika kiasi kwamba si mteremko kufungwa na Man United.
Beki ya wenger na kiungo viko vizuri. Laccazate sasa ni moto mkubwa pale mbele zaidi arsenal yoyote anakufunga tu.
Hakika dakika tisini zitaamua but nawapa arsenal ushindi dhidi ya Man united.
Ameskia sema ameamua kuandika ili uone excuse yake hahahaHujasikia laccazate hachezi?
We ni Tahira, endelea kutamka taira.Huna hoja zaid ya matuc kaa boss wako wa man u.......jina yenyey lnajieleza kuwa unaweza tamka taira
Endelea na huyo Wenger wako...Ramsey,Wilshere,Giroud,Coquiline, Walcot...wana miaka zaidi ya mitano hapo na hawajawahi kufanya chochote na hata ukisema leo unawatoa bure kwa Cristal Palace hawawapokei na bado unajiona una mipango ya kushinda. Akili hizi ni za Wenger pekee.Kwani wanaosajiliwa wanatoka mbinguni hadi wasiposajiliwa ionekane ni ajabu. Sawa hawajasajiliwa wengi mbona wanashinda.
Ha haaaa Casetee!!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani eti tufungwe na Lacazette? Haingii akilini
Kitambo sana Arsenal aliwahi kukalia 8_0 mtungi leo anakalia na kubembelezwa kwa 4g warembo tu haoWadau kuelekea mechi kubwa wikiendi hii kati ya arsenal dhidi ya Manchester United hapo jumamosi nimeona sio kesi kuanzisha uzi huu kwa ajili ya wapenda soka tujuzane yatakayokuwa yanajiri mpaka dakika tisini za mchezo huo zitakapokamilika! Karibuni sana wapenda soka wenzangu.
Huyu ndugu yetu atakuw amesafiri anasiku haonekani.Joseverest Upo?
wee hufuatilii mpira hebu subiri hyo weekend umuone lacazete wakoZamani wenger alisumbuliwa na vitu viwili uingereza.