Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

huyo bidada akate mawasiliano kabisa na huyo mshefa, kama kweli kaamua kuachana nae inawezekana,
maamuzi yote anayo bidada mwenyewe.
 
WHEN A WOMAN IS FED UP....huwa tuko kama waarabu vile, tunavumilia weeeeee siku tukisanuka ndo kujilipua sasa
 
sidhani kama kupenda mtu kupo kirahisi hivi.........
yumkini huyu dada alitawaliwa na visasi au tamaa zisizokuwa na msingi hivyo akaamua kuchukua maaamuzi hayo ya haraka!
lakini sioni chembe chembe za upendo hapo!!!!!!
 
mtu ukiamua kubadilika unaweza haijalishi unapitia magumu gani bana wee...

jamani na hizi ndoa hizi nazo aaah.....ni kwamba tumesha rule out suala la uaminifu kabisa? ni nini mbaya?

% kubwa ya migogoro hii husababishwa na waume, wamekuwa hawana hofu/heshima na ndoa zao kabisa, mtu ameoa but ana mahawara kila kona, na hana hofu ya kumuumiza mke wake wala nn, wakimwagwa na mahawara huko ndio wanajirudi kama huyu na bahati yake mbaya huyu kakuta nafac yake imeshikiliwa na mshefa, hivi mnadhani wake zenu tuna mioyo ya chuma?
 
sioni upendo wowote hapo Nyamayao!
sidhani kama upendo unaweza kuja kirahisi hivi..........
huyo bidada ni tamaa na visasi vya hapa na pale ndo vinamsumbua tu!

ashindwe kumpenda mumewe alieishi nae kwa miaka mingi yote hiyo (achilia mbali migogoro midogo midogo)
aje kumpenda huyo mshefa, kisa anampa faraja ya kingono tu?.........kuna uwezekano wa visasi na tamaa za hapa na pale kutawala hapo
 
siku hizi mae naona tunakimbizana nao, ila kinachowauma wao ni kwamba si sahihi kwa mwanamke kuchiti, mwanamke akichiti ukagundulika (hata kama mumewe anachiti pia) adhabu yake ni kubwa, lakini mwanaume akichiti, yeye ni mwanaume hata jamii haitashangaa.

(hivi wanachitigi na nani hawa wanaume?)
 
hakuna 'bora' bacha....sema nyie ni wabinafsi sana, mejipa haki ya kufanya hayo kwa kuwa tu ninyi ni wanaume. inavyowaumiza nyie na sisi ni hivyo hivyo na zaidi.
kwa kweli ntaacha mwanaume awe mwanaume lakini si kwenye hili.....

sawa bht, je na wewe unaamini dawa ya moto ni moto?
if you do me i do you.......................?si ndio mnaita faraja hizo ?
 
sidhani kama kupenda mtu kupo kirahisi hivi.........
yumkini huyu dada alitawaliwa na visasi au tamaa zisizokuwa na msingi hivyo akaamua kuchukua maaamuzi hayo ya haraka!
lakini sioni chembe chembe za upendo hapo!!!!!!

kupenda kumetofautiana sana, wewe unaweza kuona huwezi kupenda kirahic but kwa mwenzio ikawa ni rahic sana....hata upendo ni kingono ni upendo pia may b ndio huyu dada amempendea mshefa na ndio unaofanya anashindwa kuchukua maamuzi ya kummwga, unahic ni kitu gani kinachomfanya huyu dada ashindwe kummwaga huyu mshefa?....
 
sawa bht, je na wewe unaamini dawa ya moto ni moto?
if you do me i do you.......................?si ndio mnaita faraja hizo ?

khaaa!! kwa hiyo umeamua uniulize kabisa ujue nasimamia wapi eeeh?

haya bacha mi si muumini wa visasi kwenye mahusiano...kamwe sitaki hilo. ntajiumiza zaidi tu. kwanza huwa naona kama najitia madoa mwenyewe tu...ikibidi ni heri uamue vinginevyo tu.
 
laiti wangujua wanawake jinc tulivyo smart kwenye hilo, wao wanaona wakifanya mpaka wake zao tunajua ndio ujanja, laiti wangelijua, huku maoficn tunayaona mengi sana...laiti mngelijua!
 
sawa nyamayao, naona siku hizi msamiati wa upendo umerahisishwa sana.........nimekupata mamito!!!!!!!
 
hata zile kesi mlizokuwa mnaletewa kwenu(mwanajamiione) chanzo ni huyu mwanamke......hata kule kukengeuka kwa mwanaume chanzo kilikuwa ni huyu mwanamke....mwanamke ni mkorofi.....sana sana ataishia kupata eutanesia death...

mwanamke ndiye mkorofi tangu awali......
 
so far the winner here is mshefa.....damn it....lol
 
laiti wangujua wanawake jinc tulivyo smart kwenye hilo, wao wanaona wakifanya mpaka wake zao tunajua ndio ujanja, laiti wangelijua, huku maoficn tunayaona mengi sana...laiti mngelijua!

na kwa style hii, ndo maana tukiwabamba tu!bifu lake ni la kufa mtu..............
 
sidhani kama kupenda mtu kupo kirahisi hivi.........
yumkini huyu dada alitawaliwa na visasi au tamaa zisizokuwa na msingi hivyo akaamua kuchukua maaamuzi hayo ya haraka!
lakini sioni chembe chembe za upendo hapo!!!!!!

vyovyote iwavyo....but mbona umembana sana huyu dada wakati yeye alifanya muendelezo wa game tu? huyo mume yeye alifanya sahihi na hastahilim kulaumiwa? ndio mana nikasema kwa tuliopitia kwenye kashkash ya ndoa tunamuelewa huyu dada, yeye aliona njia ya kujipooza machungu ndio hiyo cmlaumu, ninachoweza kumwambia ni kwamba kama anataka kuachana na huyu mshefa bac uamuzi ni wake, ni jambo rahic sana kwa yeye kuamua kumuacha......vingenevyo wanaume mjue kwasasa ndoa zimebadilika, huo uvumilivu tunaoambiwa wanawake tuwe nao umekaribia kutoweka na kitakachobakia ni 'if u do me, i do u"...heshimuni wake/ndoa zenu mtaiona raha ya ndoa...fullstop.
 
na kwa style hii, ndo maana tukiwabamba tu!bifu lake ni la kufa mtu..............

na sisi tukiwabamaba tufanyeje bacha? hebu toa ushauri maana naona umemkaba mdada wa watu na ku dilute kosa na mwanaume mwenzio
 
hahaaaa The Boss...lol!

dada kafa kaoza kwa mshefa

unajua hapa tunajifunza somo kuubwa sana

kwamba kuna wanaume anaweza kuwa na mkewe bila tabu
na kubeba mke wa mwingine pia bila taabu....

wakati wengine akionja huko nje,na mke anamuona hana maana....

so ni vipi mshefa anaweza kuwa nao wawili na wote wakafurahi...

wakati mume kumrudisha mkewe kwenye reli tu shughuli..lol
 
Reactions: bht
na kwa style hii, ndo maana tukiwabamba tu!bifu lake ni la kufa mtu..............

nikujulishe tu, anaebambwa ni "mjinga/mpuuzi"...kumbamba mwanamke smart kwenye hili game ni ngumu sana,msishangae mnawafanyia wake zenu kila aina ya kituko but kuna wakati unafikia hawawaulizi tena lolote, urudi home ucrudi sawa tu, upigiwe cm/sms za ajabu sawa tu, mhhh.... wacha ninyamaze nisiende nje ya thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…