nikujulishe tu, anaebambwa ni "mjinga/mpuuzi"...kumbamba mwanamke smart kwenye hili game ni ngumu sana, wacha ninyamaze nisiende nje ya thread.
unajua hapa tunajifunza somo kuubwa sana
kwamba kuna wanaume anaweza kuwa na mkewe bila tabu
na kubeba mke wa mwingine pia bila taabu....
wakati wengine akionja huko nje,na mke anamuona hana maana....
so ni vipi mshefa anaweza kuwa nao wawili na wote wakafurahi...
wakati mume kumrudisha mkewe kwenye reli tu shughuli..lol
nikujulishe tu, anaebambwa ni "mjinga/mpuuzi"...kumbamba mwanamke smart kwenye hili game ni ngumu sana,msishangae mnawafanyia wake zenu kila aina ya kituko but kuna wakati unafikia hawawaulizi tena lolote, urudi home ucrudi sawa tu, upigiwe cm/sms za ajabu sawa tu, mhhh.... wacha ninyamaze nisiende nje ya thread.
80 Percent vs 20 Percent
nikujulishe tu, anaebambwa ni "mjinga/mpuuzi"...kumbamba mwanamke smart kwenye hili game ni ngumu sana,msishangae mnawafanyia wake zenu kila aina ya kituko but kuna wakati unafikia hawawaulizi tena lolote, urudi home ucrudi sawa tu, upigiwe cm/sms za ajabu sawa tu, mhhh.... wacha ninyamaze nisiende nje ya thread.
hehee mae acha kuwatisha wenzio bana.....
80 Percent vs 20 Percent
bora umeliweka wazi hili nyamayao................
kumbe haya ya kufarijiana nje nyie akina dada huwa mnayafanya sana tu......
uzuri wenu nyie mko smart.......lol...........
bht kumbe ndivyo mlivyo hivi.........mnakuwa smart, kumbe mnakula taratibu msimshike kipofu mkono lol...
umeeleweka
kwa ufupi mwanamke akiamua ku cheat ana cheat bila ya kujulikana..
lies and acting comes natural to women.....
bora umeliweka wazi hili nyamayao................
kumbe haya ya kufarijiana nje nyie akina dada huwa mnayafanya sana tu......
uzuri wenu nyie mko smart.......lol...........
i
bht kumbe ndivyo mlivyo hivi.........mnakuwa smart, kumbe mnakula taratibu msimshike kipofu mkono lol...
umeeleweka
kwa ufupi mwanamke akiamua ku cheat ana cheat bila ya kujulikana..
lies and acting comes natural to women.....
bacha, ndivyo tulivyo mi na nani tena?
unajua nini The Boss, sisi akina baba kumbe huwa tunajisahau/tunajiachia sana mpaka inakuja kuonekana ......
wenzetu nao kwenye game kumbe wapo tu ila, ule usmart ndo unaowasaidia!
Mi naona ngoma droo, braza akubaliane na hali tu kuwa amevuna alichopanda, sasa akipangie matumizi. Kila kitu kina matokeo. Kinga ni bora kuliko tiba wanasema, ukishindwa kuzuia ajali ya pikipiki hadi ikatokea na ukakatika mguu, kilichobaki ni kununua crutches tu maisha yaendelee, utanung'unika hadi lini?
...sio zito kivile.
'Mshefa' angekuwa hana mke,...ningekuwa na ushauri mwingine.
Mume amejirudi, na mke amekiri mapungufu yake katika ile tapatapa ya
kutafuta maliwazo,...
...mshauri; hana haja tena ya kendelea kushikilia fire extinguisher ilhali moto ushazima.
Boss kasema hivi.....Kwahiyo sasa humu mmeafikiana nini? kuwa mshefa ndio suluhisho na mwokozi wa ndoa...au?
wewe, Nyamayao na akina dada wengine............................
neno mshefa naona ni zuri zaidi kuliko buzi lol

Wapendwa WanaJF.

Natumaini wote mu wazima........naombeni msaada wa namna ya kushauri.

Ni rafiki yetu kifamilia, kwa muda mrefu yeye na mumewe wamekuwa kwenye migogoro ya hapa na pale ya kindoa. Kusema ukweli mumewe amekuwa akimis-behave kwa kipindi ikiwemo kucheat, physical abuse and the like. Mke akawa anaumia, anaconfront wanagombana.. After a while mgogoro ule ukapungua (ile frequency ya wao kuja kushtaki kwetu kesi zao ukapungua na mwisho kuisha kabisa- wadau tukakaa na kumshukuru MUNGU juu ya wokovu huu maana hali ilipokuwa inaelekea ilikuwa inatishia uhai wa ndoa ile).

Juzi kanijia huyo mke ananomba ushauri kama mwanamke mwenzie. Akatoa siri ya mafanikio 'amani' ya miujiza iliyotawala kwenye ndoa yake kwa kipindi kile. Alisema alikujaamua kuwa 'mpole' asimfuatilie mumewe wala asijihangaishe naye....alitafuta 'mshefa' wa pembeni naye akawa anajilia raha kwa nafasi!!!....sikuamini lakini kutokana na matatizo aliyokuwa nayo kipindi kile nadhani nilimwelewa ingawa sikuafiki.

Sasa anadai mumewe amejirekebisha sana na amebadilika na kuwa 'mume' tatizo liko kwake amejikuta amedevelop hisia kali za mapenzi kwa 'Mshefa' kuliko kwa mumewe na kila akijaribu kumuacha huyu jamaa anashindwa maana anasindwa kujicontrol kabisa. Not only that hata 'Mshefa' huyo hana dalili za kumsaidia 'kurudi' kwa mumewe kihisia kwani kila mara anakuwa kama anamblackmail vie kuwa anampenda na eti somehow huyu mwanamke amesababisha kutokuelewana flani kati yake yeye 'Mshefa' na mkewe nyumbani kwake. So kila mdada akijaribu kumuacha 'Mshefa' mshefa anakuja juu kimapenzi yaani anachochea vile.

Mdada anasema mumewe alishagundua juu ya cheatignyake lakini akamsamehe baada ya mke kukiri na kuapa kuacha. Ila sasa ndo anashindwa kihisia yuko kwa 'Mshefa' zaidi ya mumewe. Anaomba msaada afanyeje a'rudishe' mapenzi na hisia kwa mumewe??

Amekiri kuwa alifanya kosa na anajutia kutafuta 'faraja' nje ya ndoa.

Naombeni tumsaidie .....Nitawaacknowledge msijali