Arusha 620,000 Mbunge mmoja Mbeya 540,000 wabunge wawili.

Arusha 620,000 Mbunge mmoja Mbeya 540,000 wabunge wawili.

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,490
Reaction score
38,302
Tume huru imekuja na mgawanyo wa majimbo.

Arusha idadi ya watu 620,000 ina jimbo mmoja la uchaguzi.

Mbeya idadi ya watu 540,000 majimbo mawili ya uchaguzi.

Huu ni mfano mdogo ambao unadhihirisha tume yetu huru ya uchaguzi si tume huru hata kidogo.

Ngongo kwasasa Kwamromboo 🐐
 
Wakati wa mchakato wa kugawanya majimbo mlikuwa EU ??
 
Tume huru imekuja na mgawanyo wa majimbo.

Arusha idadi ya watu 620,000 ina jimbo mmoja la uchaguzi.

Mbeya idadi ya watu 540,000 majimbo mawili ya uchaguzi.

Huu ni mfano mdogo ambao unadhihirisha tume yetu huru ya uchaguzi si tume huru hata kidogo.

Ngongo kwasasa Kwamromboo 🐐
Jibu ni moja NO REFORMS NO ELECTION
 
Usiishie hapo tu kushangaa ndugu mleta mada, shangaa na huku.

1. Jimbo la Donge kuna wapiga kura 1170 tu.

2. Jimbo la Chemba mkoani Dodoma lina wapiga kura 34,000 tu
 
Iko siku watatutafuta watupigie magoti na hawatafanikiwa kutupata
Handeni ina population 245,000 sensa ya mwaka 2022 labda mwaka huu 2025 wanaweza kufikia 300,000 wana majimbo mawili ya uchaguzi.
Handeni Mjini 28,000 sensa ya 2022 labda sasa 32,000 wana uwakilishi kwa idadi yao.
 

Attachments

  • IMG-20250516-WA0004.jpg
    IMG-20250516-WA0004.jpg
    105 KB · Views: 33
Back
Top Bottom