Arusha waligoma kugawa Jimbo wakat mbeya walikubali ... Hakuna mtu anakatazaa kugawa Jimbo ikiwa litafikia vigezi.
Pia mbeya imetawanuika Sana mkuu. Yani Kuna mazingira mpaka mbunge hawezi fika kama anvyohitajika sabab ya umbali alaf nako ni Jimbo lake na ilibidi akuhudumie ipasavyo. .