Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

Jamaa amewatafuna waumini wake sana, wengine wamekuwa wakitishiwa wakitoa Siri za majoka makubwa
 
Akiwatafuna kuna ubaya gani?

Mapadri wanatafuna watoto wadogo bora yeye anatafuna watu wazima.

Mtu mzima hajabakwa ameamua mwenyewe kuvua chupi atafunwe kuna ubaya gani?

Kumbuka yule ni kiongozi wa dini. Hatakiwi kuwa mzinzi.
 
Tattoo ina ujumbe wake. Kuchora picha ya nabii maana yake nini?
 
Wabongo Wana mbinu nyingi Sana za kupiga pesa huyu mzee ukimsifia tu anakupa pesa. Naona mashimo aliandaa maandamo ya kumsifia baada ya kupewa gari.
 
Kwann nini tofauti ya tattoo ya mnyama na ya mtu
 
Mke & mume walikuwa ni walimu wa shule moja hapa mjini. Baada ya kustaafu mume mafao yake alijenga nyumba na kununua mifugo anayo hadi sasa.

Mwanamke yeye alikuwa ni mtu wa maombi sana na akajikuta ameingia NGURUMO, alipopata mafao yake akaenda kupanda mbegu yote kwa huyu nabii tapeli.
Matokeo yake mume alimfukuza kwenye nyumba yake na hadi sasa huyu mama amechanganyikiwa kabisa.
 
Hawa ndio wanaojua kula na walamba asali na sio zumarid kosa lake hakujifungamanisha na walamba asali, angekuwa anaisapoti ccm asingekuwa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…