Arusha: Afariki baada ya kuingia kwenye kisima chenye mita 60 kumtoa mbuzi

Arusha: Afariki baada ya kuingia kwenye kisima chenye mita 60 kumtoa mbuzi

Kuna watu akili zero kabisa, unaenda kuokoa mbuzi unakufa wewe! zero brain or what
 
Mita 60 si mchezo, huko hata hewa changamoto, maskani jamaa likiwa akija kurekebisha pump kisimani, kwanza anavuruga sabuni ya unga, anamwaga povu la kutosha, kisha ndio anaingia na akitoka huko ni kaloa jasho na anapumua si mchezo.
 
Umaskini mbaya nyie, hapo alipiga hesabu ya 40k yake akifanikisha imsaidie matumizi😪

Huyo mwenye mbuzi pia amekosea kwa huo umbali angempotezea tu huyo mbuzi, asingeruhusu watu waingie kumtoa,ila basi ajali kazini🤔
 
Back
Top Bottom