JAKUGOTE
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 788
- 1,084
Mi mwenyewe nimejiuliza, mita 60 kwenda chini sio mchezo mchezo.Hizo ni metres au ulimaanisha 60 inches? Maana hata futi 60 kwa kisima bado ni nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe nimejiuliza, mita 60 kwenda chini sio mchezo mchezo.Hizo ni metres au ulimaanisha 60 inches? Maana hata futi 60 kwa kisima bado ni nyingi
Zimamoto kazi Yao nn sasaMita 60 ni urefu mkubwa. Ni karibu robo tatu ya uwanja wa mpira.
Daaah! Mtumishi umekumbwa na nini? Au umewaza tukio la bondia aliyefariki na ujira wake?
Huna D mbili?“Walikuja vijana watano ambao walizama kwenye shimo kwa shilingi elfu arobaini lakini baadaye ilitokea kishindo katika kisima yule bwana kuchungulia tukakuta ameshadumbukia kwenye kisima "SIJAELEWA HAPA"
Ni kuzima motoZimamoto kazi Yao nn sasa
Mmh jini tenaWanaogopa, tetesi kuna jini humo shimoni ati!! wanaogopa watadakwa na wao
Akupanga kufa mkuuKuna watu akili zero kabisa, unaenda kuokoa mbuzi unakufa wewe! zero brain or what
Mtu ukichungulia si unaona tu maji mazito unaacha mbuzi.kwani udumbukie huko ndaniAkupanga kufa mkuu
msosi uo sheeJamaa akili yake ilikuwa kama ya mbuzi!
Umewahi kuliangalia shimo la mita60? It's too far asikwambie mtuHii nchi ni umasikini au ni kukosa akili nyani tumbili
Kweli jeshi la uokozi wanashindwa kumtoa mtu kwenye shimo la mita 60!!!!
N mpaka utheme dadekiWanawake tukumbuke kuwaombea waume zetu wanapotoka,na pia tujifunze kuwashukuru kwa wanacholeta.
Pole kwa familia na ndugu.
Onho,parefu sanaMita 60 ni urefu mkubwa. Ni karibu robo tatu ya uwanja wa mpira.
Hata wa 40 yupo mkuu😥😥
Huyo mwenye mbuzi katika hiyo 40 angeongezea apate mbuzi mwingine.