Arusha: Afisa Upelelezi (Omary Mahita) akamatwa kwa tuhuma za kumvunja Mguu raia

Arusha: Afisa Upelelezi (Omary Mahita) akamatwa kwa tuhuma za kumvunja Mguu raia

Kuna vitu watu wanafanya, hukumu ya kweli watakutana nayo mbele za haki wakishakufa. Tusijisahau kwa vyeo tunavyopewa wakuu
Duniani hukumu haziko sawa...mtu anaweza onewa au akapendelewa na sheria bado ikaonekana sawa....wanadamu karibia wote tunakoseana, tunajikosea na kumkosea Mungu!! Anayekukamata yani polisi ana madhambi yake pengine makubwa kuliko yako ila anavyogangamala na mtuhumiwa yeye kama Mungu..anayesimamia sheria mahakamani na kukufunga nae ana makandokando ya dhambi mpaka shetani hapendi ila anakuhukumu aidha kisahihi au sio kisahihi..MUNGU pekee ndio mhukumuji wa kweli kwakuwa yeye ni mtakatifu na anaona moyoni.
Wanadamu tujitahidi yale tunayoyajua kuwa ni kosa tuepuke kwa kila namna..na pale tamaa zetu zikituongoza tumgeukie Mungu..atatusaidia kuepuka, ukinusa hatari bora ukamwachia Mungu mana unaweza kosewa wewe halafu ukamrejeshea tukio ambalo wewe ndio utahukumiwa pakubwa..mfano mtu mmoja kijijini alikuwa anamdai mwenzie elf 5, siku mdai kalewa akampiga kisu mdeni wake ktk namna ya ugomvi akitaka pesa yake..akajikuta ameua..sasa akishaua majuto yakatawala akakimbia mkono wa sheria lakin bado maisha hayakuwa mazuri sababu kuua mtu ni madhara kisaikolojia sana..na bado akakamatwa na akafungwa kwa sheria za wanadamu..ila pia hukumu ya kuua kutoka kwa Mungu bado itakuwa juu yake ile siku....chanzo ni kudaina sh 5,000 sio ya kuibeza ila kuwa makini..pesa kivyovyote inatafutwa niaminivyo mimi kama unaamini umedhulimiwa haki fulani ukijua namna ya kumwachia Mungu yeye atakupatia mara dufu ya ile uliyopoteza kihalali..na atashughulika na mdeni wako kwa namna ajuavyo na akimjua Mungu jambo hutendeka bila hukumu..akishupaza shingo mabaya humfika.
SIKU NJEMA..NI MAWAZO TU BINAFSI
 
Back
Top Bottom