Arusha: Akutwa ndani na lita 70 za mkojo na kinyesi ndoo 6.

Kila mtu ana matatizo yake ya akili Kuna kipindi nilipitia changamoto kubwa nikawa nafanya vitu vya ajabu mara nilale chini,mara nisioge,pombe Kila siku Kuna kipindi nikawa nachinja kuku nawapa majirani bure
Kama sio kutuliza kichwa na kupata marafiki wenye akili ungekuta nalala jalalani
 
Pole sana mkuuu
 
Back
Top Bottom